Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787][emoji106]Tangazo hili ni comedy, huyu jamaa aanzishe kikundi cha kuigiza vichekesho, ana kipaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji106]Tangazo hili ni comedy, huyu jamaa aanzishe kikundi cha kuigiza vichekesho, ana kipaji.
[emoji2956][emoji2956]HAKUNA MTANZANIA MJINGA AMBAYE ATAANDAMANA KIJINGA JINGA TOENI ACHENI UPUUZI WENU.
TPA berth 0-2Bandari haijauzwa....
TPA wanabaki na BERTH 8-11...
DPW wanachukua BERTH 1-7...
Mafuta hayawahusu....
Ulinzi hauwahusu......
Swali mujarab !!Vibali vya kuruhusu maandamano mmepata ?!!!
Ujinga tulio nao si pamoja na huu ulinganisho unaojaribu kufanya?Nchi yetu nzuri iliyojaliwa utajiri mwingi wa asili imejaa wajinga wa kila aina.
India wametuzidi sana kiuchumi na wameingia mkataba na DP World mwaka huu, wanataka ufanisi katika bandari yao.
Belgium na UK wamekodisha bandari zao kwa DP World, wanataka ufanisi mpana na wanajua hiyo kampuni inao uwezo mkubwa kiasi gani katika masuala ya uendeshaji wa ports.
Heshima yako mkuuAlijazwa upepo gani? Mtu kaonewa alafu unasema alijazwa upepo? Hata ingekua wewe wanakuulia binti yako ungesubiri ujazwe upepo ili uikosoe serikali?. Kwa taarifa tu wanaandaa rufaa na watashinda we endelea kuwaza ngono tu.
Hii nchi tuna vijana wa ovyo sana
Wanaopinga wanahofia kwamba mkataba hauna ukomo na hata mgao ukiwa kiduchu hatuwezi kuuvunja popote pale otherwise tutalipa damages. Kingine wanahofia kwamba bandari ni strategic sasa ikiwa chini ya mwekezaji kunaweza iumia nchi mfano wakati wa vita alafu wakakataa kupitisha silaha au mafuta!!Bila kutumia maneno machafu na kauli chafu naomba ni eleweshwe mojawapo ya kasoro ya huo mkataba (kasoro moja tu yenye masrahi kwa taifa) wa DPW ikiwa uwekezaji uliopo unatuingizia takriban tilion 7 na huu wa DPW utaingiza almost tilion 27. Tatizo ni nini? Ahsante.
Ujinga ni kudhani kuwa Tanzania ni sawa na nzi ndani ya chupa ya bia, kwamba tunao uwezo wa kuishi katika dunia hii kwa vigezo na upeo wetu wenyewe.Ujinga tulio nao si pamoja na huu ulinganisho unaojaribu kufanya?
Ujalazimishwa papai weweSi maandamano ya AMANI...
Ni maandamano ya UASI....
Yaani ASKARI POLISI aliyevaa sare yake ya kazi....aivue KOFIA na kuvaa BERETI NYEKUNDU AMA NYEUSI dhidi ya watanzania na kiapo chake cha kazi ?!!!![emoji15][emoji15]
Huu ni UASI wa dhahiri.....
Mdude huna lengo zuri na UTULIVU WA WATANZANIA.......
#SiempreJMT[emoji120]
Akili yako inawaza kutomba tu,,,,sasa wew na mbuzi tofauti ni ipiWe sema umemkumbuka tu jamaa aliyekuwa anakukumbatia pale Magereza Rwanda Mbeya huna lolote. Hatuandamani ng'ooooooo, mchukue mama na baba yako mkaandamane. Sisi vijana wa Mbeya hatufanyi hiyo kazi. Unataka tuwe walemavu kwa ajili ya nini? Yaani niache biashara zangu hapa Soweto niende Andamana ili watuumize pumbu zisifanye kazi kama.ambavyo zako hazifanyi alafu mke wangu Pendo nitamuachia nani?
Mbarikiwa huyooo memjaza upepo na ujinga wa uana harakati na sasa yupo Gereza gani wala hamaja mpelekea sabuni tunasubiri miezi 3 tu mbele tuanze mtombea mkewe huko nje na wale vijana wake wote wamesambaratika na wengine wamerudi nyumbani Tukuyu.
Akili yako inawaza kutomba tu,,,,sasa wew na mbuzi tofauti ni ipi
Nikeshakudharau wewe Joyce Mukya hawara wa Mbowe. ByeeeeeKwani bandari ni kwa faida yako au Mwabukusi? Au unamkomoa nani unadhani?
Kwa akili hizi ccm itatawala milele
Umdharau nani hata akili Huna? Yaani mtu anapiga kelele jambo la faida yako alafu upo busy kumkejeli? Cha ajabu ukute ni waziri au mbunge huko CCM just imagine the state of our nation!!Nikeshakudharau wewe Joyce Mukya hawara wa Mbowe. Byeeeee
🗑 🚮 🗑 🚮Umdharau nani hata akili Huna? Yaani mtu anapiga kelele jambo la faida yako alafu upo busy kumkejeli? Cha ajabu ukute ni waziri au mbunge huko CCM just imagine the state of our nation!!