Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

Tarehe 9 Novemba imepangwa na wakili Mwabukusi & Co kuwa ni siku ya maandamano kupinga uuzwaji wa bandari ya Tanganyika kwa mwarabu.

Ninajitolea kwa jasho na damu kuunga mkono maandamano haya. Kwasababu ni rasmi sasa bandari imekabidhiwa kwa mwarabu Leo hii October 22, 2023.
 
Mtanzania bado hajawa na ujasiri huo.
Hata watawala wanatujua vizuri katika hilo.

Ipo siku watanganyika wataamka na kuwa serious na Taifa lao na kuacha kujadili mipira na ujinga, Siku hiyo bado haijafika japo ipo njiani.
 
Hakika
 
Mwabukusi yuko Busokelo anachanganya watanganyika na watanzania; yaani hata haeleweki😁😁
 
Tarehe 9 Novemba imepangwa na wakili Mwabukusi & Co kuwa ni siku ya maandamano kupinga uuzwaji wa bandari ya Tanganyika kwa mwarabu.

Ninajitolea kwa jasho na damu kuunga mkono maandamano haya. Kwasabb ni rasmi sasa bandari imekabidhiwa kwa mwarabu Leo hii October 22, 2023.
Basi sawa 😆😆😆😆
 
Hata wakati wa matokeo ya uchaguzi 2020 ulisema hivyo hivyo boya wewe
 
Na wanasema mkataba wa miaka 30 hii inamaanisha ccm bado itaendelea kuchochoea umasikini miaka 30 ijayo
 
Back
Top Bottom