Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

Dr Slaa anatumia kivuli cha bandari kujisafisha akipewa ubalozi kesho anawasahauni anabadli msimamo watu wa namna hiyo hawapaswi kuungwa mkono hata kama wanapigania a just cause.
[emoji2956][emoji2956]
 
Maandamano bongo hii nchi imejaa keyboard warriors. Binafsi hiyo siku nitakua bize natafuta riziki mkono uende kinywani sitaandamana
 
Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.

View attachment 2777081
View attachment 2777082
Kuna walakini kwenye afya ya akili ya aliyeandika hili tangazo. Aende hospitali akajiridhishe. Ataandamana yeye na mke wake na watoto wake maana hana mamlaka ya kunilazimisha mimi na familia yangu kufanya anachotaka.
 
Si maandamano ya AMANI...

Ni maandamano ya UASI....

Yaani ASKARI POLISI aliyevaa sare yake ya kazi....aivue KOFIA na kuvaa BERETI NYEKUNDU AMA NYEUSI dhidi ya watanzania na kiapo chake cha kazi ?!!!![emoji15][emoji15]

Huu ni UASI wa dhahiri.....

Mdude huna lengo zuri na UTULIVU WA WATANZANIA.......

#SiempreJMT[emoji120]
Tangazo hili ni comedy, huyu jamaa aanzishe kikundi cha kuigiza vichekesho, ana kipaji.
 
Mbarikiwa huyooo memjaza upepo na ujinga wa uana harakati na sasa yupo Gereza gani wala hamaja mpelekea sabuni tunasubiri miezi 3 tu mbele tuanze mtombea mkewe huko nje na wale vijana wake wote wamesambaratika na wengine wamerudi nyumbani Tukuyu.
Alijazwa upepo gani? Mtu kaonewa alafu unasema alijazwa upepo? Hata ingekua wewe wanakuulia binti yako ungesubiri ujazwe upepo ili uikosoe serikali?. Kwa taarifa tu wanaandaa rufaa na watashinda we endelea kuwaza ngono tu.

Hii nchi tuna vijana wa ovyo sana
 
Hahaaaaaa, umenichekesha sana. Nani amusement mtoto wa mbarikiwa wewe zwezwe? Kwa influence gani ya mbarikiwa? Yaani gari lipate ajali mtoto aumie kwenye gari alafu usimpeleke hospitali ndio useme ameuliwa? Pumbavu sana nyie machadema.
 
We tukana unavyoweza ila njia ya muongo huwa fupi sana. Kama hana ushawishi mbona mlikua mnamrundikia kesi kila siku mara mfungie usajili n.k?. Nakumbuka mpaka Dr Tulia aliwahi ingilia hilo suala alafu unasema hana ushawishi?. Kingine mtu hawezi kuonewa mpaka awe na ushawishi? Kwani maskini wangapi wanatapeliwa haki zao na ushawishi hawana!! Au kwa akili yako ni mpaka uwe na ushawishi ndio uonewe?

Typical UVCCM mindset
 
Back
Top Bottom