Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

Si maandamano ya AMANI...

Ni maandamano ya UASI....

Yaani ASKARI POLISI aliyevaa sare yake ya kazi....aivue KOFIA na kuvaa BERETI NYEKUNDU AMA NYEUSI dhidi ya watanzania na kiapo chake cha kazi ?!!!![emoji15][emoji15]

Huu ni UASI wa dhahiri.....

Mdude huna lengo zuri na UTULIVU WA WATANZANIA.......

#SiempreJMT[emoji120]
Maandamano ya kupinga serekali ya majizi ya kura ni kosa, ila ya kusifia majizi ya kura ni sahihi.
 
We sema umemkumbuka tu jamaa aliyekuwa anakukumbatia pale Magereza Rwanda Mbeya huna lolote. Hatuandamani ng'ooooooo, mchukue mama na baba yako mkaandamane. Sisi vijana wa Mbeya hatufanyi hiyo kazi. Unataka tuwe walemavu kwa ajili ya nini? Yaani niache biashara zangu hapa Soweto niende Andamana ili watuumize pumbu zisifanye kazi kama.ambavyo zako hazifanyi alafu mke wangu Pendo nitamuachia nani?

Mbarikiwa huyooo memjaza upepo na ujinga wa uana harakati na sasa yupo Gereza gani wala hamaja mpelekea sabuni tunasubiri miezi 3 tu mbele tuanze mtombea mkewe huko nje na wale vijana wake wote wamesambaratika na wengine wamerudi nyumbani Tukuyu.
Joined august 2022!
 
Sisi tutaandamana sio nyie chawa.
Dr Slaa anatumia kivuli cha bandari kujisafisha akipewa ubalozi kesho anawasahauni anabadli msimamo watu wa namna hiyo hawapaswi kuungwa mkono hata kama wanapigania a just cause.
 
Haitoweza kufanikiwa ..

1.Wabongo hawana muda huo.
2.Wabongo waoga ;inahitajika bomu moja uchwara kila mtu atatafuta njia ya kutokea.
 
Siku hiyo ntahakikisha simu yangu inakua full charge na mb za kutosha nakaa juu kabisa floor ya mwisho kule.
 
We sema umemkumbuka tu jamaa aliyekuwa anakukumbatia pale Magereza Rwanda Mbeya huna lolote. Hatuandamani ng'ooooooo, mchukue mama na baba yako mkaandamane. Sisi vijana wa Mbeya hatufanyi hiyo kazi. Unataka tuwe walemavu kwa ajili ya nini? Yaani niache biashara zangu hapa Soweto niende Andamana ili watuumize pumbu zisifanye kazi kama.ambavyo zako hazifanyi alafu mke wangu Pendo nitamuachia nani?

Mbarikiwa huyooo memjaza upepo na ujinga wa uana harakati na sasa yupo Gereza gani wala hamaja mpelekea sabuni tunasubiri miezi 3 tu mbele tuanze mtombea mkewe huko nje na wale vijana wake wote wamesambaratika na wengine wamerudi nyumbani Tukuyu.
Unakisirani hatari kwanini umejaa chuki kiasi hiki
 
Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.

View attachment 2777081
View attachment 2777082
Upumbavu mwingine unaosababishwa na ukosefu wa elimu ni huu hapa. DP World mpaka utakapofika muda huo wa mgomo atakuwa keshakabidhiwa bandari na atakuwa anaiendesha.

Na sio bandari yote kama hawa walioandaa mgomo walivyodanganywa, ni magati namba tatu mpaka namba saba, kuna magati mengine yanatafutiwa mwendeshaji mwingine ambayo ni namba nane mpaka kumi na moja.

Tukuze uelewa wetu ili dunia ya kisasa isije kutuona sisi kama ni viroja fulani.
 
We sema umemkumbuka tu jamaa aliyekuwa anakukumbatia pale Magereza Rwanda Mbeya huna lolote. Hatuandamani ng'ooooooo, mchukue mama na baba yako mkaandamane. Sisi vijana wa Mbeya hatufanyi hiyo kazi. Unataka tuwe walemavu kwa ajili ya nini? Yaani niache biashara zangu hapa Soweto niende Andamana ili watuumize pumbu zisifanye kazi kama.ambavyo zako hazifanyi alafu mke wangu Pendo nitamuachia nani?

Mbarikiwa huyooo memjaza upepo na ujinga wa uana harakati na sasa yupo Gereza gani wala hamaja mpelekea sabuni tunasubiri miezi 3 tu mbele tuanze mtombea mkewe huko nje na wale vijana wake wote wamesambaratika na wengine wamerudi nyumbani Tukuyu.
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Back
Top Bottom