PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyo Judge hana tofauti na police watekaji na wauaji, ameharibu kabisa heshima za majaji nchi nzima
 
Lini Zanzibar ilianzisha chama kikawa na nguvu bara. Nawachukia sana Wazanzibar muungano wa kichoko huu.
 
Mimi kwakweli nakubaliana na maaumuz ya mahakama na ikiwizekana chadema ifutwe na hutu tu vyama vyama tupigwe spana. Ibaki chama moja tuu hapo turudi mwaka enzi za 1991 ili tuprove kauli ya baba wa taifa kwa vitendo.
 
..No Reforms No Election iendeshwe kupitia chama kingine cha siasa mpaka pale Chadema itakapotoka kwenye kifungo cha mahakama.

Cc Nguruvi3, Erythrocyte
Of course ndivyo lipaswa, swali, ni Chama gani! Kuna wanaopewa chopper, halafu wale wa nafasi ya pili.

Kwa namna nyingine ni ''bahati mbaya jema'' ( blessing in disguise).
Wiki moja ana trend Tundu Lissu, nyingine vurugu za kuumizwa mahakamani, inayofuata Msajili kachukua ruzuku, halafu Wanaharakati wakamatwa na sasa kufungiwa shughuli.

Habari hizi zina draw public sympath licha ya ku trend. Hii NoRNoE inashika kasi kwasababu Chadema ina trend. Kwa mfano ni nani anajua Amos Makalla ameongea nini leo! Nani anafuatilia Bajeti ya CCM Bungeni.
 

..nadhani Cdm ina trend kwasababu ya kuwa field kwenye mikutano.

..Cdm wangekuwa majumbani kwao halafu wakanyimwa ruzuku umma usingejali.

..Na kwa maoni yangu, Jaji kawazuia Cdm kufanya shughuli zao kwasababu wananchi wanaounga mkono NRNE wamekuwa wakiongezeka kadiri Cdm inavyofanya mikutano.
 
..nadhani Cdm ina trend kwasababu ya kuwa field kwenye mikutano.
True
..Cdm wangekuwa majumbani kwao halafu wakanyimwa ruzuku umma usingejali.
Na hawapaswi, lakini kwa kufungiwa kwa mbinu si kwamba wanatoweka kabisa bali wana baki waki trend kwa siku 14 then watarudi wakiwa na public sysmpathy
..Na kwa maoni yangu, Jaji kawazuia Cdm kufanya shughuli zao kwasababu wananchi wanaounga mkono NRNE wamekuwa wakiongezeka kadiri Cdm inavyofanya mikutano.
Mahakama ni chaka la CCM. Tuseme ukweli, Majaji waliopita waliipa heshima , kwasasa Jaji Mkuu ajiuzulu tu. Mahakama ni sehemu ya Wanachi kupoteza imani. Jaji mkuu hajautendea umma haki.
 
Rule of Law ,kama member wa chama amefungua kesi ni lazima CDM ifuate taratibu za kesi na zinavyotaka ,kama wameambiwa walete docs ni lazima kuleta ili mahakama iamue ukileta uharakati kwenye mahakamana lazima utapigwa RUNGU.
Mahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka motatu bila kutoa hukumu? Mkuu unaamini bado watu ni wajinga?
 
Naona bado umenasa kwenye propaganda mfu za udini na ukabila. Toka njenya box, muda umekuacha.
 
Mahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka motatu bila kutoa hukumu? Mkuu unaamini bado watu ni wajinga?
Kesi ya Zitto kuhusu CAG ilikaa miaka hadi Magufuli alipofariki ndio hukumu ikatoka
Mahakama ni Chaka la CCM, Jaji mkuu ajiuzulu. Hii si Mahakama ya Nayalali, Samatha, Kisanga n,k.
 
Tangu lini mahakama za Tanzania zinaitwa court of justice. Mahakama, bunge na serikali (Policeccm, na green guard wote) ni kitu kimoja wanafanya kazi kwa kufuata maagizo ya Samia ili wapandishwe vyeo. HAKUNA MAHAKAMA TANZANIA. Angalia huyo judge, msajili wa vyama wa sasa na wa zamani aliyekufa, wana sifa moja ya uonevu, halafu wote ni wapare (Wathuti) wa ovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…