Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Anayewaza kwa kutumia makalio hutukana kwa kutaja utupu wa mwanamke ilhali ndani ya utupu huo ndimo alipita kuja duniani 😂😂
Anayewaza kwa kutumia k ya mama yake ndio hutukana kwa sababu anasahau kwamba hata yeye anayo hayo makalio.
 
Huu mjadala sio wa kuisha Leo
Hauwezi kuisha endapo utaleta vivid explanation ya kile unacho kiamini or else Itakua kama kuamini kitu usicho kijua which is insane.
Sifii dini namfia kristo
Huyo kristo si umemjulia kwenye dini? Au wanaoamini kristo ni wapagani?
You easily judge someone by what you think
Everyone judges based on how they think, what you say explain your thoughts.. thibitisha hicho unacho kiamini or else you're what I think you are.

Having knowledge is not power, but application of knowledge is power.
 
Hujathibitisha kuwa ni mambo ya kutungwa tu.

Naweza kukwambia kuwa wewe kusema haya ni mambo ya kutungwa tu ndiyo jambo la kutungwa tu.

Kwa sababu hujathibitisha kuwa haya ni mambo ya kutungwa tu.

Yani si tu hujathibitisha kuwa haya ni mambo ya kutungwa tu, hujathibitisha hata kama umeyasoma, achikia mbali kimuyaelewa.

Unaongelea vitu ambavyo huvielewi, hujavisoma, huwezi kuvichambua kimantiki.

Pengine huna hata uwezo wa kuvichambua kimantiki.
sijakisoma kwasabb siwez lugha ilitumika kuandika hiyo script siyo lugha yangu,siijui siwezi kusoma kitu nisicho kijua

mfano ww mtu akwambie nisomee kitabu kilicho andikwa kwa lugha ya kihadzabe au kisandawe utaelewa nini?
 
Kwa hivyo unapinga kitu ambacho hujakisoma na wala lugha iliyotumika kukiandika huielewi?
 
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini anajificha huko alipo, Halafu anataka kuaminiwa akiwa mafichoni?

Huyo Mungu akijitokeza hadharani akajulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani itamcost nini?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Alishakuja akasulubiwa akafa akazikwa akafufuka kutoka wafu akapaa mbinguni atakuja tena kwa utukufu kuwahukumu wazima na wafu, Na bahati mbaya ni kwamba kwa sasa kama unasubiri japo uone ishara ili uamini kama yupo basi hautoona chochote ila tu jua kwamba siku tu ukishaanguka chini utashuhudia hicho kiburi chako cha uhai.
 
Kwa hivyo unapinga kitu ambacho hujakisoma na wala lugha iliyotumika kukiandika huielewi?
napinga kwasbb hakuna hakuna machapisho yoyote ya script za hao mnao waita wana philosophy walioelezea chanzo cha ulimwengu ni nini.
 
napinga kwasbb hakuna hakuna machapisho yoyote ya script za hao mnao waita wana philosophy walioelezea chanzo cha ulimwengu ni nini.
This logical fallacy is called non sequitur.

Hivi wanafalsafa kushindwa kukuelezea chanzo cha ulimwengu ni nini, zaidi ya kuthibitisha hawajui chanzo cha ulimwengu ni nini, kunathibitisha nini?

Kunathibitisha Mungu yupo?

Unafikaje kwenye hitimisho kuwa Mungu lazima yupo kwa sababu wanafaksafa hawajaweza kuthibutusha chanzo cha ulimwengu ni nini?

Unaelewa kuwa inawezekana wanafalsafa hawajaweza kuthibitisha chanzo cha ulimwengu ni nini kwa sababu Mungu hayupo? Kwamba angekuwepo angewawezesha wajue chanzo cha ulimwengu ni nini bila shaka yoyote?
 
Alishakuja akasulubiwa akafa akazikwa akafufuka kutoka wafu akapaa mbinguni atakuja tena kwa utukufu kuwahukumu wazima na wafu, Na bahati mbaya ni kwamba kwa sasa kama unasubiri japo uone ishara ili uamini kama yupo basi hautoona chochote ila tu jua kwamba siku tu ukishaanguka chini utashuhudia hicho kiburi chako cha uhai.
Imaginations just an illusion.
 
Hauwezi kuisha endapo utaleta vivid explanation ya kile unacho kiamini or else Itakua kama kuamini kitu usicho kijua which is insane.

Huyo kristo si umemjulia kwenye dini? Au wanaoamini kristo ni wapagani?

Everyone judges based on how they think, what you say explain your thoughts.. thibitisha hicho unacho kiamini or else you're what I think you are.

Having knowledge is not power, but application of knowledge is power.
Kila nikidhibitisha unapinga tu
Unatka upinge au
 
Mungu gani mwenye upendo ameshindwa na anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto na wanawake wanaokufa na kuteseka kwa njaa, vita, magonjwa, majanga ya asili kama vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi, radi na shida nyingine nyingi sana...

Mungu gani anayetupenda kwa hali za watoto kama hawa...👇
View attachment 3210007View attachment 3210008
Huyo Mungu kama yupo ni Mungu mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist, nunda, dikteta na hana hata chembe ya upendo wala huruma.

Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
We jamaa hahaha Sasa umenipa picha za vilema kwamba Mungu awasaidii!

Hayo Ni matokeo ya dhambi Mungu hashughuliki nayo
Hushughulika na watu wanaomjua na anahuruma na upendo kwao
 
We jamaa hahaha Sasa umenipa picha za vilema kwamba Mungu awasaidii!
Watoto wanaozaliwa walemavu na njiti, Ni nani kawaumba hivyo?
Hayo Ni matokeo ya dhambi Mungu hashughuliki nayo
Watoto wanaozaliwa walemavu na njiti, Wamefanya dhambi gani hadi wazaliwe hivyo?

Ingekuwa ni watu wakubwa, Sawa. Kwa sababu watu wakubwa wana ufahamu na wana uwezo wa kutenda dhambi.

Sasa hawa watoto wachanga kabisa na wadogo, Kwa nini wanateseka wakati hawana hata ufahamu wa kutenda dhambi?
Hushughulika na watu wanaomjua na anahuruma na upendo kwao
Kwa nini Mungu aumbe watu wanaomjua na wasiomjua?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba watu wote wawe wanamjua siku zote na wakati wote?
 
Back
Top Bottom