Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

zilipendwa
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
wapumbavu hao
 
Maamuzi ya hovyo sana, injinia nilimuona mtu fulani very smart but kwenye hili kakurupuka. Timu mnampa muhuni ndo madhara yake hayo. Sisi kwetu sherehe tu.
 
nisome kama park don wa singida apa me naona kuna haja ya wahudumu wa afya kuwasaidia nyuma mwiko maana ni kama wamechanganyikiwa sasa
 
Reactions: Tui
Chanzo cha hayo yote ni mobeto πŸ˜€πŸ˜€ zengeli na pacome tutawapatia uwoya na gigy money kwisha habari yaoπŸ˜€πŸ˜€
 
Maamuzi ya hovyo sana, injinia nilimuona mtu fulani very smart but kwenye hili kakurupuka. Timu mnampa muhuni ndo madhara yake hayo. Sisi kwetu sherehe tu.
Naskia utetezi wao eti Kocha hajafukuzwa kwasababu ya matokeo

Wao wanadai mshkaji ni kibuli na katengeneza matabaka inavyosemwa ni kwamba kwenye technical bench alikuwa anaelewana na assistant wake tu, the rest hakuwa na chemistry nao.

Lakini hayo tumeanza kuyasikia baada ya visago viwili mfululizo, awali maneno hayo hatukuyasikia.
 
Mmmm! Mechi2 Tu! Sisi Yetu Macho Kunapofuka Moshi Moto Siku Yoyote Utalipuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…