kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwaheri Mwalimu kwaheri baba mwaga unga je ni kweli sindano za majeraha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaheri Mwalimu kwaheri baba mwaga unga je ni kweli sindano za majeraha!
zilipendwaSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC. View attachment 3152866
Hapa umefikiria sawa. Maigizo yote yale lazima kuna kitu sababu ndo ilikosekana na sasa imepatikana.Ama kuna jingine kabla hata ya kufungwa!!!??
wapumbavu haoNilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Ni ngumu .Yanga wameingia kwenye mfumo, sasa waombe Mungu huyo atakayekuja awe zaidi ya gamondi
Tafuta uzi wa Tetesi za Usajili wa ndugu HichilemaMakachero wa JF naombeni list ya makocha wapya wanao husishwa kuchukua urithi wa gamondi yanga..
Naskia utetezi wao eti Kocha hajafukuzwa kwasababu ya matokeoMaamuzi ya hovyo sana, injinia nilimuona mtu fulani very smart but kwenye hili kakurupuka. Timu mnampa muhuni ndo madhara yake hayo. Sisi kwetu sherehe tu.
Mmmm! Mechi2 Tu! Sisi Yetu Macho Kunapofuka Moshi Moto Siku Yoyote UtalipukaTAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi.
Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw.
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuwashukuru Makocha hao kwa mchango wao ndani ya Klabu yetu na unawatakia kila la kheri katika majukumu yao mapya.
Tayari mchakato wa haraka wa kutafuta Makocha wapya wa kikosi chetu cha kwanza umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Imetolewa na
Ofisi ya Mtendaji Mkuu (CEO)
Young Africans Sports Club
15.11.2024
View attachment 3152851