Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Huyu Israel hua mnamuona kama Mungu sio, mijitu michafu kazi yao ushoga na mauwaji nyie ndio mnawatukuza kitabu chenu kimewadaganya sana.
Kwa hiyo kitabu kisichodanganya ni kile kinachodai ukiua kafiri halafu ukauawa basi utapokelewa na mabikra 72 kule ahera na pia eti utakunywa pombe kutoka kwenye mito inayo tiririsha pombe hukohuko ahera. Fantastic.
 
Wanajeshi 20000 ndani ya mji mdogo kuliko ilala!?..uwe unachuja
 
Alichokifanya marekani kusogeza meli mbili kubwa zaidi za kivita kuisaidia Israel ndicho kilichofanyika kwenye hizo Vita na waarabu ambazo muisrael anajisifia kushinda
Lakini Muisraeli bado anapigana - hajashinda hii vita ya sasa. Kama alishinda ile ya zamani sio lazima na hii ashinde. Tusubiri muda ndo utasema Nani kashinda.
 
Aisee! baada ya miaka kumi nchi zote za kiarabu zitakuwa zimekaliwa na wayahudi..

Israel alikuwa akivuta mda wa kuingia gaza ili wajinga wajinga kama Yemen waingie kwenye 18 israel asije akachoma wese bure hapo gaza ngoja awakusanye kwanza
Israel anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.
 
Yemeni Houthi Military spokesman Brig. Gen. Yahya Saree said in a televised statement:

″Our armed forces launched a large batch of ballistic missiles and a large number of drones at various targets of the Israeli enemy

The Yemeni Armed Forces confirm that this operation is the third operation in support of our oppressed brothers in Palestine and confirm that we will continue to carry out more qualitative strikes with missiles and drones until the Israeli aggression stops”
 
Israel anaenda jisombea ardhi nyingine baada ya miaka 5 utasikia waislam wanasema israel kapora ardhi
Kati ya Yemen na Israel Kuna nchi kadhaa ikiwemo Saudi Arabia hapo kati,muwe mnajielimisha
 
Israel anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.
For sure,nimeona pamewaka haswa Leo Israel ndani huko
 
Hawana ubavu huo. Usiwaponze wenzio ilhali ww umejikalia zako mbali.

Is modern day Israel the same as ancient Israel?

Modern Israel was created in 1948 after a United Nations agreement with the British created the State of Israel. Ancient Israel and Modern Israel are considered different civilizations with their own unique features, though they do share religious and historical connections.
 
Israel anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.
Hata kuwa destabilzed inatosha kuwa keep busy na kuyumbisha uchumi wao
 
It is Ok. Even ancient Tanzania (by then Tanganyika) is not the same as what we nowadays call Tanzania although geographically it is the same area.
 
Hii ni sign mbaya sana. Natamani vojana wangu wa afighanstan waingize timu maana wale ni WAGNER wa kiarabu. WWW3 kama masihala inaanza na kuishuhudia hii vita kwa macho yangu
Afghanistan siyo Waarabu.
 
Tujiandae na bei ya mafuta,middle east bado hakupo stable kabisa. Iran nae anatishia tishia ,sijui nae atasemaje, Saudi nae sijui ataenda kinyume na US, Lebanon na Hizbolah.............loading.

US na washirika wake (France,UK,Germany) wanaweza kuumaliza huu mgogoro ila naona wameamua kuegemea upande mmoja na mgogoro unazidi kusambaa.Hapo tena kampuni za silaha US zinakenua tu,zinajua hela zinaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…