GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mletapost ni c_ho_ko
Yaani uingize team uwanjani kushindana na mtu ambaye mara zote game haiishi bila mashabiki wako kuuliwa ,kuumizwa na kibaya zaidi unaporwa ushindi hadharani.

Anatokea c_ho_ko mmoja huko anawaona wajinga kwa kutokuingiza team uwanjani ....

you guys mbona mmefikia kiwango cha juu kabisa cha udumavu wa akili aisee.

Binafsi naona njia iliyotumiwa na CHADEMA ni njia bora kabisa kuwahi kutokea Afrika , kama Taifa linaingia kwenye Uchaguzi wa haki likubali kufanya reforms kama lengo la Uchaguzi ni kwajili ya maigizo wacha huo Uchaguzi ufanywe na wapumbavu wenzao watakaoshorikiana nao ... period
 
Kumbe JF kuna viazi walidhani kuwa wananchi wanaposema no election ni kuwa uchaguzi hautofanyika?
Utafanyika ila mtafanya wenyewe
 
Hahaaaa kwa hyo chagadema wanasubiria ufutwe washiriki sio au watazuia magari ya mabakabaka kupeleka masanduka vituoni naitamani hii movie niione hahaaa
 
Huu upumbavu wako kaa nap huko gheto kwa ibirisi wa ccm mnapokaa mkivuta Bangi, Chadema haiwezi kuwa chali kwani ipo moyoni mwa wapenda haki kote Duniani, Uchaguzi haramu wa kishetani hauifanyi chadema kuwa chali kwani chadema hawajajitoa wenyewe bali ni kwa kufanyiwa hila vituko uonevu manyanyaso kutekwa kuuawa kubambikiwa kesi za uongo na ibirisi wa ccm
 
Uchoko mnaijua nyinyi na Mwenyekiti wenu ambaye bwana wake Robert Amsterdam anapigania huko Ubelgiji
 
ibirisi wa ccm wamesahau kuwa Dunia inajua vituko vyote wanavyowafanyoa chadema
 
ibirisi wa ccm wamesahau kuwa Dunia inajua vituko vyote wanavyowafanyoa chadema
ibirisi ni mnyama gani? Hebu nenda kasome hata elimu ya ngumbaro ndiyo uingie JF
 
Uchoko mnaijua nyinyi na Mwenyekiti wenu ambaye bwana wake Robert Amsterdam anapigania huko Ubelgiji
ccm inakwama kwa kuwa na watu wajinga kama nyinyi eti ndiyo Watetezi wa ccm mitandaoni, Lisu alikwenda Ubelgiji kisa nyinyi ccm kutaka kumuua kwa kumpiga Risasi, kama si unyama wako Lisu asingemjua huyo wakili Amsterdam, mateso yako kwa chadema ndiyo yameupaisha chadema kote Duniani
 
Utunge basi na taarabu maana naona wee bingwa wa mipasho. Kama nakuona unavyo pita mtaani umevaa na kushikilia kijola ukiimba ratiba ya uchaguzi
 
Tangazo la tume lina picha ya mgombea, hilo ni tangazo au ni kampeni.....🙄
 
Chadema ndiyo chama cha ukweli na uwazi vyama vingine vya upinzani ni vyama chawaccm kama chauma ubwabwa tawi la ccm, chadema ndiyo nguzo ya mageuzi Ndiyo maana ccm inawateka inawaua inawabambikia kesi za uongo
 
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe
Hakuna chaguzi
kazi ya chama cha upinzani ni kuikosoa Serikali ya ccm, kazi ya chadema ni kuikosoa ccm yenye mapungufu mengi yenye uonevu manyanyaso utekaji mauaji na kuwabambikia kesi za uongo chadema, wapinzani wa kweli ni wale hukosoa matendo maovu yote yanayotendwa na ibirisi wa ccm, ambao unatumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuidhoofisha kuihujumu chadema badala ya kuyatumia kuleta maendeleo
 
Kwa hIyo mwenyekiti wenu kamshinda wetu kura na hivyo wenu anapendwa zaidi?
Sera za ccm kwa sasa ni kuwabambikia kesi za uongo kuwaua kuwateka kuwanyanyasa kuwaonea chadema, hawana jipya, hawataki kuleta maendeleo pesa zote wamezielekeza kwenye kuudhofisha chadema kuipataka kuilea chauma ubwabwa chama chawaccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…