Hamna ugumu hapo , Paula ndo final say....!!! Usikute ashamwambia mama ake mi nataka niwe assigned na label ya rayvann🤣🤣🤪Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Duuu kaliwe tuKurusha video chafu akiwa na mtoto wa kajala anaitwa Paula mtoto mrembo Sana Ila ni mwanafunzi Sasa ndio shida inapokuja wadau ndo maana mleta mada anasema huyo msanii inatakiwa achukuliwe hatua na gvt.
Sasa wewe umeanza kuelewa nini kinaendelea.. Ndo maana Harmonize kaandika ujumbe mrefu wa kinafikiii kuchochea mamlaka zisichukulie pia alichofanya rayvann.. Na kigogo kashamwambia balaa linakujaa aandae wanasheria.Sure, 100%. Na hii ngoma ni bora wapitie kwa majani ana akili na busara. Ila sio kwa mama kajala, maana yule mama sasa hivi anaongozwa na chuki za Njomna nchumali
Uyo mtoto simwoni mremboKurusha video chafu akiwa na mtoto wa kajala anaitwa Paula mtoto mrembo Sana Ila ni mwanafunzi Sasa ndio shida inapokuja wadau ndo maana mleta mada anasema huyo msanii inatakiwa achukuliwe hatua na gvt.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una utani wewe yani Hamna kitu kama hicho.. kwanzaa kajala team konde.. Pfunk hii ishuu ndo kamind balaa yanii yule mtoto hata Acc ya insta ashaifutaaa.Hamna ugumu hapo , Paula ndo final say....!!! Usikute ashamwambia mama ake mi nataka niwe assigned na label ya rayvann[emoji1787][emoji1787][emoji2957]
Kigogo yupi huyo alie post ? Unaweza weka link hapa ? Njomba nchumali anachochea kuni. Rayvann ata survive kwenye huu mkasa, ila uta muyumbisha kwa kiasi flani. Na amini huko alipo anajutia sana kuvujisha video. Issue kubwa hapo sio Paula kumegwa Vboy, mtihani ni Vboy kupost video. Angekaa kimya kimya ana jimegea wala kungekuwa hakuna shidaSasa wewe umeanza kuelewa nini kinaendelea.. Ndo maana Harmonize kaandika ujumbe mrefu wa kinafikiii kuchochea mamlaka zisichukulie pia alichofanya rayvann.. Na kigogo kashamwambia balaa linakujaa aandae wanasheria.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hapo ndo balaa lilipo mkuu.. yule dogo anamegwaa kifalaa toka kitambo mbona hadi kwenye magarii huko!! Kingine label yake imepata misukosuko sanaa hiyo WCB TV hadi leo wamepigwaa kufulii... leo msanii wao kaaribu tenaa so label haiwezi kujitoa yani msalaa wanao tena huu..Kigogo yupi huyo alie post ? Unaweza weka link hapa ? Njomba nchumali anachochea kuni. Rayvann ata survive kwenye huu mkasa, ila uta muyumbisha kwa kiasi flani. Na amini huko alipo anajutia sana kuvujisha video. Issue kubwa hapo sio Paula kumegwa Vboy, mtihani ni Vboy kupost video. Angekaa kimya kimya ana jimegea wala kungekuwa hakuna shida
AhaaaDuuu kaliwe tu
Kamlith mamaUyo mtoto simwoni mrembo
Namchukulia changudoa
Ila ndio kazi ya management, sio kula tu hela. Hizi ni moja wapo ya kazi zao. Kila binadamu ana makosa yake na mitihani yake, na VanBoy hili ndio janga lake, apige moyo konde asonge mbele yameisha tokea, saaa hivi ni kukaa na kupambana na lolote pa mbele yakeHapo ndo balaa lilipo mkuu.. yule dogo anamegwaa kifalaa toka kitambo mbona hadi kwenye magarii huko!! Kingine label yake imepata misukosuko sanaa hiyo WCB TV hadi leo wamepigwaa kufulii... leo msanii wao kaaribu tenaa so label haiwezi kujitoa yani msalaa wanao tena huu..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mtto umleavyo.......Ahaaa
Kwenye TV hapo jamaa wamepindua mapema tu na hili tulijua tu..kutoka miez 6 hadi 2 ..mwisho wa mwez huu wanarud hewani...hapo kwa ray hii case sio mpya ...mifano mbona ipo ya makosa kama hayo.....Tena mim ndo ningekua serikali hapa hakuna case...mambo ya wasanii ni drama tu....Hapo ndo balaa lilipo mkuu.. yule dogo anamegwaa kifalaa toka kitambo mbona hadi kwenye magarii huko!! Kingine label yake imepata misukosuko sanaa hiyo WCB TV hadi leo wamepigwaa kufulii... leo msanii wao kaaribu tenaa so label haiwezi kujitoa yani msalaa wanao tena huu..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
AhaaaaHIVI NANI KAWAAMBIA PAULA MDOGO YULE UPO ABOVE 18 NA KUHUSU SUALA LA MWANAFUNZI YULE KAMAMLIZA NA MTOTO WA MONALISA MWENZAKE KAENDELEA NA SHULE BAADA YA KUAFAULU YEYE KAFELI KAANZA KUZUNGUKA KITAA WAKULUGWA WAMEPITA NAE MNAANZA KULETA ISHU ZENU ETI ANASOMA ACHENI WIVU