Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
- Thread starter
- #761
Hamna ugumu hapo , Paula ndo final say....!!! Usikute ashamwambia mama ake mi nataka niwe assigned na label ya rayvann🤣🤣🤪Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app