Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hamna ugumu hapo , Paula ndo final say....!!! Usikute ashamwambia mama ake mi nataka niwe assigned na label ya rayvann🤣🤣🤪
 
Kurusha video chafu akiwa na mtoto wa kajala anaitwa Paula mtoto mrembo Sana Ila ni mwanafunzi Sasa ndio shida inapokuja wadau ndo maana mleta mada anasema huyo msanii inatakiwa achukuliwe hatua na gvt.
Duuu kaliwe tu
 
Sure, 100%. Na hii ngoma ni bora wapitie kwa majani ana akili na busara. Ila sio kwa mama kajala, maana yule mama sasa hivi anaongozwa na chuki za Njomna nchumali
Sasa wewe umeanza kuelewa nini kinaendelea.. Ndo maana Harmonize kaandika ujumbe mrefu wa kinafikiii kuchochea mamlaka zisichukulie pia alichofanya rayvann.. Na kigogo kashamwambia balaa linakujaa aandae wanasheria.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Hamna ugumu hapo , Paula ndo final say....!!! Usikute ashamwambia mama ake mi nataka niwe assigned na label ya rayvann[emoji1787][emoji1787][emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una utani wewe yani Hamna kitu kama hicho.. kwanzaa kajala team konde.. Pfunk hii ishuu ndo kamind balaa yanii yule mtoto hata Acc ya insta ashaifutaaa.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe umeanza kuelewa nini kinaendelea.. Ndo maana Harmonize kaandika ujumbe mrefu wa kinafikiii kuchochea mamlaka zisichukulie pia alichofanya rayvann.. Na kigogo kashamwambia balaa linakujaa aandae wanasheria.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kigogo yupi huyo alie post ? Unaweza weka link hapa ? Njomba nchumali anachochea kuni. Rayvann ata survive kwenye huu mkasa, ila uta muyumbisha kwa kiasi flani. Na amini huko alipo anajutia sana kuvujisha video. Issue kubwa hapo sio Paula kumegwa Vboy, mtihani ni Vboy kupost video. Angekaa kimya kimya ana jimegea wala kungekuwa hakuna shida
 
Hapo ndo balaa lilipo mkuu.. yule dogo anamegwaa kifalaa toka kitambo mbona hadi kwenye magarii huko!! Kingine label yake imepata misukosuko sanaa hiyo WCB TV hadi leo wamepigwaa kufulii... leo msanii wao kaaribu tenaa so label haiwezi kujitoa yani msalaa wanao tena huu..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndo balaa lilipo mkuu.. yule dogo anamegwaa kifalaa toka kitambo mbona hadi kwenye magarii huko!! Kingine label yake imepata misukosuko sanaa hiyo WCB TV hadi leo wamepigwaa kufulii... leo msanii wao kaaribu tenaa so label haiwezi kujitoa yani msalaa wanao tena huu..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ila ndio kazi ya management, sio kula tu hela. Hizi ni moja wapo ya kazi zao. Kila binadamu ana makosa yake na mitihani yake, na VanBoy hili ndio janga lake, apige moyo konde asonge mbele yameisha tokea, saaa hivi ni kukaa na kupambana na lolote pa mbele yake
 
Anasoma shule gani? Na kwanini hadi sasa hivi yupo nyumbani au Anasoma day?
 
Mbona hiyo video ya kuliwa cjaioana mimi😆😆😆, nilichokiona n video ya falagha tu na nilisikia paula akisema "I love you dady"🤣🤣🤣🤣 mapenzi yana nguvu nyie, yani paula kasahau baba yake ni majani😆😆, hata mm ningekuwa majani ningefura sanaaa kusikia mtot wangu anampa cheo changu mtu mwingine🤣🤣🤣
 
Hapo ndo balaa lilipo mkuu.. yule dogo anamegwaa kifalaa toka kitambo mbona hadi kwenye magarii huko!! Kingine label yake imepata misukosuko sanaa hiyo WCB TV hadi leo wamepigwaa kufulii... leo msanii wao kaaribu tenaa so label haiwezi kujitoa yani msalaa wanao tena huu..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kwenye TV hapo jamaa wamepindua mapema tu na hili tulijua tu..kutoka miez 6 hadi 2 ..mwisho wa mwez huu wanarud hewani...hapo kwa ray hii case sio mpya ...mifano mbona ipo ya makosa kama hayo.....Tena mim ndo ningekua serikali hapa hakuna case...mambo ya wasanii ni drama tu....

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Hujajua hata na hil. Piaha wanamsubir mkuu wa nchi asem yaan wao kma wao hawawez kujiongeZa
 
HIVI NANI KAWAAMBIA PAULA MDOGO YULE UPO ABOVE 18 NA KUHUSU SUALA LA MWANAFUNZI YULE KAMAMLIZA NA MTOTO WA MONALISA MWENZAKE KAENDELEA NA SHULE BAADA YA KUAFAULU YEYE KAFELI KAANZA KUZUNGUKA KITAA WAKULUGWA WAMEPITA NAE MNAANZA KULETA ISHU ZENU ETI ANASOMA ACHENI WIVU
 
Ahaaaa
 
Back
Top Bottom