RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

Anafuata nyayo za baba yake

Mwinyi, Kighoma Malima na Kitwana Kondo ndio Waislamu!
.
20230324_092143.jpg
 
Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.

Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.

Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.

Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.

Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.

P
Kwa mfano General Mkunda na vijana wake wakaona kha! mbona mkataba huu tumepigwa kabisa na sisi ni watumishi wa serikali na Pascal Mayalla anasema kuna collective responsibility tufanyeje wakati sisi tuliapa (kwa nchi na katiba sio kwa Rais) kulinda nchi hii watu wake na rasilimali?
Jee watachukua hatua gani?
1.kujiuzulu based on collective responsibility?
2. Kukitumikia kiapo chao cha kulinda raia na raslimali za nchi?
 
Mkataba bado jamani, muelezwe vipi? Labda hamuelewi kuwa kuna kampuni tatu mpaka sasa zinagombania bandari ya Dar. Sasa nyinyi kuona Mkubaliano ya serikali ya Dubai na Tanzania, mkachukulia, ooh tayri. Hapana, mkataba bado una michaakato yake.

Hivi hamkusikia kuwa kuna wabunge wamepelekwa India na weengine Dubai? Sasa hiulizeni, India walienda kutazama nini?

Kama mlikuwqa hamuelwi, India walienda kutembelea bandari zinazoendeshwa na Shirika la India na lenyeewe lipo kwenye kinyang'anyiro, na hilo pia linatia fitina, lina kikundi chake cha watu kilichowanunua wafanya propaganda.

Kuana Kampuni nyingine ya AD Ports, hiyo ndiyo 100% Ya Waarabu wa Loliondo, inajuwa haina chance kwa sababu ilikuwa na TICTS iliyofukuzwa ni washirika na kampuni ya Kichina "Hutchison" wamiliki wa TICTS, na wao wana kundi lao la wahaya linatoia fitna, na hao ndiyo wenye ushawishi mkubwa kanisa katoliki kina Anna Tibaijuka.

India wao wapo na Sukuma gang.

Biashara kubwa hizi ni vita kweli kweli, na mama ndiyo maana kaa kimya kwa hataki aje kuambiwa kafanya maamuzi yeye. Mchakato upoTPA wannaumiza vichwa.

lakini ukweli ni kuwa, mpaka sasa aliyekidhi vigezo kupita wote hao ni DP World, niulize kwanini?
faiza dada yangu, bunge halijadili makubaliano bali hujadili mkataba uliosainiwa na serikali.
other things put in [emoji117][emoji117][emoji117][emoji112][emoji603][emoji603][emoji603][emoji603]
 
HON ADAM MALIMA SPEAKS!

"Sisi issue Ni kuungalia huu Mkataba ,That's Business, tusikae tukaamini kuwa wale Ni wajomba zetu, wakiweka Mkataba Mezani Mkifanya Masihara mnapigwa!, Inapaswa Sisi Kama Watanzania tuwe tumeshakaa kwenye Nafasi Nzuri, Wametupiga Wazungu kwenye Migodi Mbona Hatusemi?,Mwaka 1998 tukaingia Mikataba Mingi tu ya Migodi, Miaka 10 tu Baadae Mimi Niko Wizara ya Nishati tukasema Mikataba hii Haifai, Haifai hata kwa kulumangia Ugali!,

Wazungu, Weupe, Watu wenye Pesa zao, Wenye Makampuni Makubwa Kabisa ya Dunia ya Mining na yanayoheshimika Kabisa Walitupiga, na Walitupiga kwa Nini?, Kwa Sababu Usimuamshe aliyelala vinginevyo utalala Wewe!,

Sisi kama Watanzania Debate yetu sio Kwamba tunataka bandari yenye ufanisi hapana, debate yetu Ni Mkataba tunaoingia na Hawa Jamaa, inapaswa tukae tuangalie Kisha tuseme hii hapana..hii sawa..hii hapana!"

- Adam Malima (RC - Morogoro).
 
Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.

Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.

Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.

Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.

Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.

P
Tatizo la baadhi yetu ni kufikiri kuwa waarabu ni wajomba zetu, ndio maana tunawakingia kifua na kuwaona ni wasafi kuliko sisi.
 
Tatizo la baadhi yetu ni kufikiri kuwa waarabu ni wajomba zetu, ndio maana tunawakingia kifua na kuwaona ni wasafi kuliko sisi.
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kiukweli hakuna watu wastaarabu kama Waarabu!.

Maadam Waarabu ni wajomba wa Wazanzibari, na Tanzania bara na Tanzania Visiwani ni nchi moja, then Waarabu ni wajomba zetu!.

Alimaanisha kwenye issue ya mkataba waarabu hawawezi kua na huruma na sisi hivo tuwe makini, ndio maana akasema sio wajomba zetu wale eti kwenye mikataba tucheke nao, dunia ya kibepari haitaki kujifanya unazubaa na kutafutiza udugu wa mbali ukilemaa unapigwa vilevile, hivi kisichoeleweka ni nini hapo?
 
"Sisi issue ni kuungalia huu Mkataba. That's Business, tusikae tukaamini kuwa wale ni wajomba zetu, wakiweka Mkataba Mezani Mkifanya Masihara mnapigwa. Inapaswa Sisi Kama Watanzania tuwe tumeshakaa kwenye Nafasi Nzuri, Wametupiga Wazungu kwenye Migodi Mbona Hatusemi?

“Mwaka 1998 tukaingia Mikataba Mingi tu ya Migodi, Miaka 10 tu Baadae Mimi Niko Wizara ya Nishati tukasema Mikataba hii haifai, haifai hata kwa kulumangia Ugali!

“Wazungu, Weupe, Watu wenye Pesa zao, Wenye Makampuni Makubwa Kabisa ya Dunia ya Mining na yanayoheshimika Kabisa Walitupiga, na Walitupiga kwa Nini? Kwa Sababu Usimuamshe aliyelala vinginevyo utalala Wewe!

Sisi kama Watanzania Debate yetu sio Kwamba tunataka bandari yenye ufanisi hapana, debate yetu ni Mkataba tunaoingia na hawa Jamaa, inapaswa tukae tuangalie Kisha tuseme hii hapana..hii sawa..hii hapana!"

Adam Malima (RC - Morogoro).
 
"Sisi issue Ni kuungalia huu Mkataba ,That's Business, tusikae tukaamini kuwa wale Ni wajomba zetu, wakiweka Mkataba Mezani Mkifanya Masihara mnapigwa!, Inapaswa Sisi Kama Watanzania tuwe tumeshakaa kwenye Nafasi Nzuri, Wametupiga Wazungu kwenye Migodi Mbona Hatusemi?,Mwaka 1998 tukaingia Mikataba Mingi tu ya Migodi, Miaka 10 tu Baadae Mimi Niko Wizara ya Nishati tukasema Mikataba hii Haifai, Haifai hata kwa kulumangia Ugali!,

Wazungu, Weupe, Watu wenye Pesa zao, Wenye Makampuni Makubwa Kabisa ya Dunia ya Mining na yanayoheshimika Kabisa Walitupiga, na Walitupiga kwa Nini?, Kwa Sababu Usimuamshe aliyelala vinginevyo utalala Wewe!,

Sisi kama Watanzania Debate yetu sio Kwamba tunataka bandari yenye ufanisi hapana, debate yetu Ni Mkataba tunaoingia na Hawa Jamaa, inapaswa tukae tuangalie Kisha tuseme hii hapana..hii sawa..hii hapana!"

- Adam Malima (RC - Morogoro).
Ameyasema hayo lini na wapi?

Kama kweli kayasema, ni maswala ya masaa machache kupata Taarifa kwa Umma kutoka kwa Bi. Yunus.
 
Prof Kighoma Alli Malima na Stephen Kibona ndio Mawaziri bora wa Fedha wa Nyakati Ngumu!
Hao ndio Majemedari na Ma Comrade waliofanikisha kututoa kwny Uchumi wa kijamaa na kutuleta kwny uchumi wa Soko huria ambao leo hii umeonesha mafanikio makubwa sana sana kwa miaka hii 30 ya kuanzia 1992-2023 kuliko kutokea 1961-1992
 
Hili Jambo CCM wasipokuwa makini wanaenda kupasuka kama sio kujipasua.

Wako wengi sana wanakataa Jambo hili na hawajitokezi hadharani,,, kumpinga amiri na mwenyekiti haikubaliki kwenye CHAMA chochote
 
Back
Top Bottom