RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

Kwa mfano General Mkunda na vijana wake wakaona kha! mbona mkataba huu tumepigwa kabisa na sisi ni watumishi wa serikali na Pascal Mayalla anasema kuna collective responsibility tufanyeje wakati sisi tuliapa (kwa nchi na katiba sio kwa Rais) kulinda nchi hii watu wake na rasilimali?
Jee watachukua hatua gani?
1.kujiuzulu based on collective responsibility?
2. Kukitumikia kiapo chao cha kulinda raia na raslimali za nchi?
 
faiza dada yangu, bunge halijadili makubaliano bali hujadili mkataba uliosainiwa na serikali.
other things put in [emoji117][emoji117][emoji117][emoji112][emoji603][emoji603][emoji603][emoji603]
 
HON ADAM MALIMA SPEAKS!

"Sisi issue Ni kuungalia huu Mkataba ,That's Business, tusikae tukaamini kuwa wale Ni wajomba zetu, wakiweka Mkataba Mezani Mkifanya Masihara mnapigwa!, Inapaswa Sisi Kama Watanzania tuwe tumeshakaa kwenye Nafasi Nzuri, Wametupiga Wazungu kwenye Migodi Mbona Hatusemi?,Mwaka 1998 tukaingia Mikataba Mingi tu ya Migodi, Miaka 10 tu Baadae Mimi Niko Wizara ya Nishati tukasema Mikataba hii Haifai, Haifai hata kwa kulumangia Ugali!,

Wazungu, Weupe, Watu wenye Pesa zao, Wenye Makampuni Makubwa Kabisa ya Dunia ya Mining na yanayoheshimika Kabisa Walitupiga, na Walitupiga kwa Nini?, Kwa Sababu Usimuamshe aliyelala vinginevyo utalala Wewe!,

Sisi kama Watanzania Debate yetu sio Kwamba tunataka bandari yenye ufanisi hapana, debate yetu Ni Mkataba tunaoingia na Hawa Jamaa, inapaswa tukae tuangalie Kisha tuseme hii hapana..hii sawa..hii hapana!"

- Adam Malima (RC - Morogoro).
 
Tatizo la baadhi yetu ni kufikiri kuwa waarabu ni wajomba zetu, ndio maana tunawakingia kifua na kuwaona ni wasafi kuliko sisi.
 
Tatizo la baadhi yetu ni kufikiri kuwa waarabu ni wajomba zetu, ndio maana tunawakingia kifua na kuwaona ni wasafi kuliko sisi.
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kiukweli hakuna watu wastaarabu kama Waarabu!.

Maadam Waarabu ni wajomba wa Wazanzibari, na Tanzania bara na Tanzania Visiwani ni nchi moja, then Waarabu ni wajomba zetu!.
P
 
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kiukweli hakuna watu wastaarabu kama Waarabu!.

Maadam Waarabu ni wajomba wa Wazanzibari, na Tanzania bara na Tanzania Visiwani ni nchi moja, then Waarabu ni wajomba zetu!.
P

Alimaanisha kwenye issue ya mkataba waarabu hawawezi kua na huruma na sisi hivo tuwe makini, ndio maana akasema sio wajomba zetu wale eti kwenye mikataba tucheke nao, dunia ya kibepari haitaki kujifanya unazubaa na kutafutiza udugu wa mbali ukilemaa unapigwa vilevile, hivi kisichoeleweka ni nini hapo?
 
Your browser is not able to display this video.

"Sisi issue ni kuungalia huu Mkataba. That's Business, tusikae tukaamini kuwa wale ni wajomba zetu, wakiweka Mkataba Mezani Mkifanya Masihara mnapigwa. Inapaswa Sisi Kama Watanzania tuwe tumeshakaa kwenye Nafasi Nzuri, Wametupiga Wazungu kwenye Migodi Mbona Hatusemi?

“Mwaka 1998 tukaingia Mikataba Mingi tu ya Migodi, Miaka 10 tu Baadae Mimi Niko Wizara ya Nishati tukasema Mikataba hii haifai, haifai hata kwa kulumangia Ugali!

“Wazungu, Weupe, Watu wenye Pesa zao, Wenye Makampuni Makubwa Kabisa ya Dunia ya Mining na yanayoheshimika Kabisa Walitupiga, na Walitupiga kwa Nini? Kwa Sababu Usimuamshe aliyelala vinginevyo utalala Wewe!

Sisi kama Watanzania Debate yetu sio Kwamba tunataka bandari yenye ufanisi hapana, debate yetu ni Mkataba tunaoingia na hawa Jamaa, inapaswa tukae tuangalie Kisha tuseme hii hapana..hii sawa..hii hapana!"

Adam Malima (RC - Morogoro).
 
Ameyasema hayo lini na wapi?

Kama kweli kayasema, ni maswala ya masaa machache kupata Taarifa kwa Umma kutoka kwa Bi. Yunus.
 
Prof Kighoma Alli Malima na Stephen Kibona ndio Mawaziri bora wa Fedha wa Nyakati Ngumu!
Hao ndio Majemedari na Ma Comrade waliofanikisha kututoa kwny Uchumi wa kijamaa na kutuleta kwny uchumi wa Soko huria ambao leo hii umeonesha mafanikio makubwa sana sana kwa miaka hii 30 ya kuanzia 1992-2023 kuliko kutokea 1961-1992
 
Hili Jambo CCM wasipokuwa makini wanaenda kupasuka kama sio kujipasua.

Wako wengi sana wanakataa Jambo hili na hawajitokezi hadharani,,, kumpinga amiri na mwenyekiti haikubaliki kwenye CHAMA chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…