RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

Acha uongo wewe, Juma Nkoma alikuwa chawa wa Kighoma Malima na misamaha yote ya kodi hasa kwa wahindi ilitolewa kwa instructions za Malima kwa Juma Mkoma!!
 
Acha uongo wewe, Juma Nkoma alikuwa chawa wa Kighoma Malima na misamaha yote ya kodi hasa kwa wahindi ilitolewa kwa instructions za Malima kwa Juma Mkoma!!
CAG alikuta Misamaha aliyoidhinisha Prof Malima ni ya Vifaa vya Ibada vya Taasisi za Dini

Nilikuwa na Mdidi na Ndugumajani wakati zoezi likifanyika😀😀!
 
Adam, umeongea vizuri. Matatizo yaliopo sio DP world au Bandari ila ni sisi wenyewe na kauli zetu mbovu kuhusu wazanzibari na kutaka kuleta farakano. Mikataba huwa inawekwa na kujadiliwa na wahusika wakuu. Kama mkataba una matatizo ni kuangalia njia ya kufahamiana na kurekebisha. Leo, akili zetu , zinatupa tuwatukane wazanzibari etc etc. Kwani hapo walipoanza wajuwe tu wazanzibari hawana haja haswa na huu muungano. Huu muungano wa kulazimishana. Na leo tukipata nafasi ya kuendesha nchi yetu nawahakikishieni, chini ya miezi sita, hiyo bandari ya dar itakuwa nyang'a nyang'a. Muungano umeizuia zanzibar kuendelea.
 
Prof Kighoma Alli Malima na Stephen Kibona ndio Mawaziri bora wa Fedha wa Nyakati Ngumu!
Mkuu umemsahamu Nd. Amir Jamal na DCM hawa watatu nadhani nao bora; wanaweza kuingia katika kinyang'anyiro cha tatu bora na wakapata namba.
 
CAG alikuta Misamaha aliyoidhinisha Prof Malima ni ya Vifaa vya Ibada vya Taasisi za Dini

Nilikuwa na Mdidi na Ndugumajani wakati zoezi likifanyika😀😀!
Were usiwe Zuzu , Malima akimtumia Juma Nkoma kufanya madudu yake!! Nkoma asingeweza kutoa exemptions zote zile bila Malima kumpa kibali. Ukitaka uhakika wa kweli waulize waliokuwa TRA wakati huo wakina Julius Rutainurwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…