RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

Wewe babu mtu wa ajabu sana, Kwani Lissu kasemaje? Kasema mkataba haufai inabidi kurekebishwa, kila mtu wengi wetu ndiyo tunavyosem. investor apewe lakini maslahi yetu yalindwe.
 
Mungu ambariki sana
 
Unaanza kugeuza maneno yako sasa, muda wote wewe umen’angania ati mkatana hauna matatizo na hakuna makosa, Kwa mara ya kwanza sasa unakubali kuwa tusipigwe. Hata Lisu na Shivji wanasema hivyo hivyo, tusipigwe, tusahihishe
 
Hata viongozi nao wameshachoka.

Kama ni kuuza mali tumeshauza nyingi sana kwa maslahi ya CCM.

Kwa hiyo imefika.mahai wanavujisha baadhi ya mikataba.

Natamani wazalendo wavunjishe na ile ya madini na gesi tuichane chane yoote.
 
Pascal Njaaa
 
Ameunganishwa behewa moja na ali karume!
 
Mh cjui kama ataendelea kuwepo kweny wazifa wake! Btw ni mmoja wa wachache walioona something wrong kweny mkataba.
 
Mmh kazi hiyo
 
Msijibaraguwe, hakuna mahala Malima kapinga bandari isiendeshw na kampuni ya Dubai. Kasema tuwe makini kwenye mikataba. Ambacho ni kitu sahihi kabisa.
Na hakuna mtu anayepinga wajomba zako kupewa Bamdari ila tunachopinga ni hiyo IGA ya ubaguzi na unyonyaji
 
Paskali ifike sehemu uwe na uwezo kuelewa kauli za kiutu uzima.
 
Tupigwe mara ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…