The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Paskali Acha kuspin.Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.
Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.
Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.
Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.
Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.
P
Wote tunajua kuwa hakuna mkataba wa DPW. Mkataba ulipo na unaopingwa ni wa IGA kati ya Tanzania na Dubai Government.