FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nipishe huko, wanaowekeza ni ndugu zangu kabisa tena.Mwambie huyo faiza akawekeze yeye kwa mkataba mujarabu aone kama kuna mtu atataja dini yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipishe huko, wanaowekeza ni ndugu zangu kabisa tena.Mwambie huyo faiza akawekeze yeye kwa mkataba mujarabu aone kama kuna mtu atataja dini yake
mkuu nadhani pia hujamwelewa, mheshimiwa sana Malima kakosoa kwa staha ( in your voice), shida kubwa ya ukosoaji wa kistaha ambao unapendwa sana na (supporters wa DPW), wanaunyumbulisha na kujifanya hawauelewi, ndio maana nawapenda pia wasiotumia staha (against DPW), maana wanaeleweka zaidi maana wako focused na nini.Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.
Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.
Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.
Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.
Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.
P
Mimi ni mtanzania kwetu ni mikindanikwenu wapi?
Jichunguze vizuri, utakuwa siyo Mtanzania wewe.
Kifupi hofu aliyonayo ndio tulionao wengi, ila sababu ya ugali wake ame balance maneno.Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.
Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.
Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.
Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.
Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.
P
Kwani FaizaFoxy Dini gani?Mwambie huyo faiza akawekeze yeye kwa mkataba mujarabu aone kama kuna mtu atataja dini yake
Tena huko hukosi Mjomba wa Kiarabu. Kamaunabishe muulize mama'ko.Mimi ni mtanzania kwetu ni mikindani
Mama ananiambia sisi hatuna ndugu wa kiarabuTena huko hukosi Mjomba wa Kiarabu. Kamaunabishe muulize mama'ko.
Vipi Afya yako mkuu nasikia umepata ajali.Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.
Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.
Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.
Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.
Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.
P
Hatujawa makini kwenye mkataba wa msingi. Hiyo ni shida kubwa.Msijibaraguwe, hakuna mahala Malima kapinga bandari isiendeshw na kampuni ya Dubai. Kasema tuwe makini kwenye mikataba. Ambacho ni kitu sahihi kabisa.
Nilipokuwa mtoto niliamini baba yangu anaweza kila kitu.Unaelewa maana yake? Kama kuna makosa yarekebishwe? Ina maana raisi alisaini agreement yenye mapungufu, je alikua hajui?
Hii ndiyo changamoto ya siasa zetu. Yawezekana pia ni uthibitisho wa umasikini wa fikra...mbona serikali nzima, chama, na chawa wa Mama Samia, wameshupaza shingo, na wanasisitiza kwamba mkataba uko sawa?
Nakazia! mbaya zaidi huja pale wanapokuwa na confidence kuliko timamHili taifa wapuuz ni weng kuliko watu timamu
Hapa Mayalla naona amechemka..!!Kama umemsikiliza hakusema, ni SAWA maana unathibitisha kuwa HAKUSEMA wala watu wasiweke maneno ambayo hayakusemwa.
Swala la collective responsibility hilo achana nalo. Ccm waseme ndiooo, Bunge la wabunge wa ccm majority liseme ndiooona serkali ya ccm iseme ndioooo, haizuiii mtu mmoja wa ccm ndani ya serkali kusema siooooo, hata kama iwe ni kwa gharama ya maisha yake.
Ikifika sehemu eti kwa kuhofu nafasi yako ndani ya serkali husemi kile unaona ndio sahihi ni UOGA na uoga ni Utumwa,
Uhuru wa Maoni ni haki ya kisheria na kikatiba.
Mkataba upi wa msingi unauongelea? Mimi sjaona mkataba wowote wa utendaji.Hatujawa makini kwenye mkataba wa msingi. Hiyo ni shida kubwa.
Hilo tatizo kubbwa sana.Mama ananiambia sisi hatuna ndugu wa kiarabu
Huyu U-RC wake uko shakani. Sisi tunataka tuwape bandari wajomba zetu, waarabu wa dpw , yeye anatoa ushauri fekiAkizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .
Akafafanua zaidi amesema kwamba Waarabu sio wajomba zetu na hivyo muhimu ni kuangalia vifungu vyenye shida virekebishwe kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo.
Msikilize mwenyewe 👇
View attachment 2684047
2025 inakuja na umri nao unapenda, mengine jiongeze mwenyewe .Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .