RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo wote!

1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke.

2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake.

3. Huku akisema mafanikio kwa mtu yeyote yanahitaji juhudi kubwa za makusudi kwa mtu husika.

4. Ni Kweli kabisa mwanaume hahitaji mchango wa mwanamke Kufanikiwa.

5. Ni kweli Wanaume wengi wanafanikiwa kwa juhudi zao bila wanawake.

6. Kauli hiyo ilipotolewa upokeaji wa taarifa hiyo haukushangiliwa. Wanawake walionekana kutofurahishwa na taarifa hiyo.

7. Kwa ufahamu wangu, mwanaume anayemtegemea mwanamke lazima AFELI kimafanikio.

8. Kwa sababu kwa sehemu kubwa Wanawake kwenye uchumi wa mwanaume wengi wao asilimia tisini ni Liability.

9. Wanawake kama. liabilities zingine usipokuwa makini lazima ufeli maisha kama utawaendekeza.

10. Wanawake wengi ni tegemezi wanawezaje kumfanya mwanaume afanikiwe?

11. Wanawake wengi hawana akili za uzalishaji kutokana na upeo Mdogo wanawezaje kuwa msukumo katika mafanikio ya mwanaume?

12. Wanawake wengi wanawaza matumizi ya pesa kuliko kutafuta pesa. Wanawezaje kuwa chachu ya mafanikio ya mwanaume?

13. Mwanamke anayekosa hata pesa ya nauli, chupi, vocha, ambazo ni pesa mtu anaweza kujitafutia hata kwa kuuza karanga au maandazi. Anawezaje kuwa nguzo ya mafanikio ya mwanaume?

14. Wanawake wanaoangalia waume za watu wenye vipato ili wawabebee mimba kusudi wapate Mali wanawezaje kuwa msingi wa mafanikio ya mwanaume?

15. Wanawake wengi ambao kulea watoto wao peke yao bila wanaume wanalalamika kanakwamba wanalea watoto ambao hawakuwazaa.
Wanashindwa hata na kuku, panya na wanyama. Wanawawezaje kuwa msingi wa mafanikio ya mwanaume.
Kulea mtoto pekeako ni Jambo dogo Sana wala sio la kutamba kwani ni Jambo ambalo hata viumbe wengine wasio na akili kama binadamu wanafanya tena kwa Weledi.

16. Wanawake ambao wanahitaji upendeleo ili wafanikiwe, wapewe viti maalumu, ndio wawe msingi wa mafanikio ya mwanaume. Seriously?

17. Wanawake ambao wengi wao hata wakiwa na pesa wanashindwa kutoa kidogo kwa waume zao ndio hao wanaambiwa ni msingi wa mafanikio ya mwanaume?

18. Anthony Mtaka amewapa Ukweli mchungu Sana ambao wanatakiwa waufanyie kazi.

19. Lakini pia ni tahadhari kwa wanaume hasa vijana ambao kauli hiyo inaweza kuwaathiri kimtazamo kuwa ili afanikiwe anahitaji kutafuta mwanamke sahihi ili atoboe Jambo ambalo ni Uongo Mkubwa.

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Huo ndo ukweli ambao wengi hawataki kukubali. Wewe kama mwanaume utafanikiwa kwa juhudi zako, maarifa yako na upambanaji wako na sio kwa kutegemea akili na mawazo ya mwanamke. Akiwa mchango wowote kwako basi hiyo ni bonus tu lakini kama utaishi kwa kutegemea akili ya mwanamke eti akusaidie kujikwamua utakwama na utafeli vibaya sana. Kwamba Mo na Bakheresa walifanikiwa kwasababu ya akili za wake zao? Hiyo haiwezekani.
 
hivi si niliambiwa tumeacha matusi😅😅😅
Wapumbavu hawa, unamuitaje mama yako tegemezi wakati mimba yako aliibeba peke yake mpk akakuzaa?? Umevuta chuchu zake na kakusomesha umefika University umepata ka ajira ka uchawa anaanza kuponda nyoko nyoko mwanamke tegemezi..!! Mapombou yake 😏

Awe anauliza hiyo kauli ya “Nyuma ya mafanikio ya mwanaume, nyuma kuna mwanamke shupavu.” Ina maana gani?
Sio anaropoka km taahira…!!
 
Mafanikio unamaanisha nini? utajiri? Kama utajiri nakubaliana na wewe. Wanaume wengi tunapata utajiri kwa mbinu ngumu/za kifisadi ambazo girlfriends/wake zetu wengi hawaziwezi. Ila mafanikio ni dhana pana. Hata kulisha, kusafisha, kutunza watoto, ni aina ya mafanikio ambayo wanaume wengi wanayapata kupitia wanawake. Binafsi naamini wanawake ambao hawana mchango chanya kwenye familia zao ni wachache sana. Tatizo tulilo nalo ni hawa feminists uchwara. Wao wanaamini asilimia kubwa ya matatizo ya mwanamke chanzo ni mwanaume na asilimia kubwa ya mafanikio ya mwanaume chanzo ni wao.
 
Huo ndo ukweli ambao wengi hawataki kukubali. Wewe kama mwanaume utafanikiwa kwa juhudi zako, maarifa yako na upambanaji wako na sio kwa kutegemea akili na mawazo ya mwanamke. Akiwa mchango wowote kwako basi hiyo ni bonus tu lakini kama utaishi kwa kutegemea akili ya mwanamke eti akusaidie kujikwamua utakwama na utafeli vibaya sana. Kwamba Mo na Bakheresa walifanikiwa kwasababu ya akili za wake zao? Hiyo haiwezekani.

Upo sahihi Kabisa
 
Mafanikio unamaanisha nini? utajiri? Kama utajiri nakubaliana na wewe. Wanaume wengi tunapata utajiri kwa mbinu ngumu za kifisadi ambazo girlfriends/wake zetu hawaziwezi. Ila mafanikio ni dhana pana. Hata kulisha, kusafisha, kutunza watoto, ni aina ya mafanikio ambayo wanaume wengi wanayapata kupitia wanawake. Binafsi naamini wanawake ambao hawana mchango chanya kwenye familia zao ni wachache sana. Tatizo tulilo nalo ni hawa feminists uchwara. Wao wanaamini asilimia kubwa ya matatizo ya mwanamke chanzo ni mwanaume na asilimia kubwa ya mafanikio ya mwanaume chanzo ni wao.

Upo sahihi kabisa
 
Kuna wawanaume wengi wanampa mimba wanawake halafu wanakimbia. Wanawake wengi huwa hawakimbii watoto.

Hata kama hawana pesa watajitahidi hivyohivyo kutunza, kulea, kuwatibu na kuwasomesha watoto kwa pesa hiyohiyo ya kuungaunga.

Watapambana hata kuuza samaki, mchicha, vitumbua, maandazi, soda, maji, mama ntilie mtaani.

Utegemezi wao kwa kiasi kikubwa ni mifumo, utamaduni, uchumi, historia na bailojia inavyofanya kazi.
 
Back
Top Bottom