RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Huo ndo ukweli ambao wengi hawataki kukubali. Wewe kama mwanaume utafanikiwa kwa juhudi zako, maarifa yako na upambanaji wako na sio kwa kutegemea akili na mawazo ya mwanamke. Akiwa mchango wowote kwako basi hiyo ni bonus tu lakini kama utaishi kwa kutegemea akili ya mwanamke eti akusaidie kujikwamua utakwama na utafeli vibaya sana. Kwamba Mo na Bakheresa walifanikiwa kwasababu ya akili za wake zao? Hiyo haiwezekani.
Kwa Kuongezwa mwanamke hana Cha ziada kwenye uchumi wa mwanaume zaidi ya uchi wake tu. Mwanamkendiye huleta anguko la uchumi kwa mwanaume
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaofananisha binadamu na wanyama yani eti mtu bila aibu, anasema wanawake wanashindwa na kuku sijui mbwa unabaki kujiuliza anatumia nini kufikiri, hivi je hao wanyama nao huwa wanatafuta pesa, wanasomesha watoto, wanapikia watoto na kuwahudumia watoto

Na kubwa zaidi je wanalea watoto katika misingi ya kijamii kama wafanyavyo binadamu, sasa jiulize wanawake wanafanya hayo yote halafu wanaume ambao jukumu lao ni kutoa pesa tu kwa hao watoto, nalo wanaliona kubwa na gumu wanataka na wanawake walifanye sasa hapo nani wa kumsema mwenzake

Na by the way hii jamii yetu imejaa unafiki sana yani wanawake wanasemwa kwa kutofanya shughuli za kuwaingizia kipato, lakini wakishapata hizo shughuli wanaanza tena kusemwa kwamba pesa zinawafanya wanakuwa wajeuri, na kutaka kuwa kama wanaume sasa mbona ni kama jamii haielewi inataka nini
 
Kwamba akikuzaa kunaondoa utegemezi wake? Hizi ndio akili za kumfanya mwanaume afanikiwe kweli😆😆

Wewe kuvuta chuchu au kutokuvuta kunaathiri nini mafanikio ya mtu. Hizi vichwa vinamoshi walahi wa sigara.
Wapo watoto hawajanyonya hayo maziwa, wapo wamekuzwa kiyatimayatima na wamefanikiwa.

Kumsomesha angalau utakuwa unaongea pointi
Lakini asilimia ngapi ya wanawake wanaweza kusomesha watoto ikiwa wao wenyewe wanahudumiwa na wanaume?
Kazi zipo lakini hawataki kufanya wanakuwa tegemezi na mzigo kwenye jamii na nchi?



Lazima mfanye mambo kwa vitendo sio kuleta maneno matupu.

Wapo wanawake wachache sana wanajitahidi kuwa wanawake wa Maana, lakini mostly hawana lolote. Ni Mzigo
100%
 
Back
Top Bottom