hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Kwa kweli hata Mimi ningewacheka SanaTulimpotezea tu kwasababu dogo alitucheka sana
Kwa kweli hata Mimi ningewacheka SanaTulimpotezea tu kwasababu dogo alitucheka sana
duh😂😂Uko sahihi. Hawa Wanawake wanalazimisha umuhimu wao kwenye maisha ya Mwanaume.
Mimi nimeoa na kuacha mara kadhaa, na hadi sasa nina watoto wa Wanawake 5 tofauti. Ni Mwanamke yupi hapo anaweza kusema mafanikio yangu yanatokana na yeye? Huyu bumunda aliyepo sasa ndo kwanza ana miaka 2 tu.
Huu ni moto wa kiimani tu , sio uhalisia wa mambo , tungekua tunategemea huyo Mungu ungekuta tupo zama za kati za mawe, dunia imeendelea vile unaona kwa kufikiri nnje ya box na sio kila jambo kusema ni MunguMUNGU TUNAMTEGEMEA YES BIG YES MAANA BILA MUNGU HATUWEZI, ILA WANADAMU TUNASAIDIANA
Bumunda kwasababu ananitegemea for almost each and everything pamoja na kwamba ana kazi yake, inayompa mshahara wa kutimiza mahitaji yake.Lakini na wewe unawezaje kuoa bumunda?😃
Now nikisikia mtu kakataa mtoto, sitoi ushauri mkuu🤔Kwa kweli hata Mimi ningewacheka Sana
..na siku akiwa hayupo utajua kama alikuwa anatunza au ni wewe uliyekuwa unaitunza familia.
Hii dhana kwangu inacheza kote tu, kama familia ni kitu kimoja hakuna wa kujipa promo kwamba bila yeye mambo yasingeenda, sema kwenye maisha kuna umimi sana!!!
Na umimi wenyewe ndo huo wa kauli ya "Nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa, kuna Mwanamke"...na siku akiwa hayupo utajua kama alikuwa anatunza au ni wewe uliyekuwa unaitunza familia.
Hii dhana kwangu inacheza kote tu, kama familia ni kitu kimoja hakuna wa kujipa promo kwamba bila yeye mambo yasingeenda, sema kwenye maisha kuna umimi sana!!!
Yeah ukae Kwa kutulia kabisaNow nikisikia mtu kakataa mtoto, sitoi ushauri mkuu🤔
Na ili muende sawa kwenye mahusiano lazima mmoja awe juu, iwe kihisia, kiuchumi, kiuongozi nk.Iko hivi kwenye mahusiano yoyote. Anayetoa Sana ndiye nguzo ya mahusiano.
Anayehudumia Sana ndiye msingi wa Mafanikio ya eneo husika.
Nataka nikuhakikishie,
Wanawake wengi asilimia tisini na tisa kwa sababu ni tegemezi, mzigo, hawajiwezi, Bila mahusiano hawawezi ku- survive.
Na niongeze pia, kama mwanamke ni tegemezi kwa kiwango kikubwa ujue hata kiwango chake cha unafiki kwako kipo juu.
Na kuna uwezekano mkubwa hata upendp anaouonyesha kwako ni wakuigiza.
Ila kama mwanamke anajiweza, anajitegemeza na mkawa wapenzi, mkaunda familia ujue hapo upendo upo kwa kiasi kikubwa. Hana sababu ya kuigiza.
Wewe mwanamke kutoa pesa ya nauli kuja kwako tuu analia miaka miwili ataweza nini zaidi
Kwamba wanajf wote mmesomeshwa na mama zenu hadi yunivasiti na hamtuambii? Mbaya hii mkuu kama watu hawawasifii mama zao waliowasomesha.kakusomesha umefika University
Wanaume ni superior mkuu, we don't need backup form nobody kuonekana tumefanya.Na umimi wenyewe ndo huo wa kauli ya "Nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa, kuna Mwanamke".
Je, nyuma ya Mwanamke aliyefanikiwa hakuna Mwanaume? Kwanini Mwanaume hatajwi? Jibu, ubinafsi wa Wanawake.
Hiyo kauli na msimamo ndo wa Mhe.Mtaka sasa. 👍Wanaume ni superior mkuu, we don't need backup form nobody kuonekana tumefanya.
Maneno ya "nyuma ya mafanikio....." ni ya kujifariji tu, na mwanaume hahitaji hizo faraja ili kusimama au kuonekana kafanya.
Watu hawacheki na wowoteí ½í¸í ½í¸í ½í¸Daahh + reference,
Ugomvi wa viwembe mnakuja na Ballistic missile like seriously!?
Na ili muende sawa kwenye mahusiano lazima mmoja awe juu, iwe kihisia, kiuchumi, kiuongozi nk.
Ukisema utegemezi naamini unamaanisha kwenye mambo ya kifedha, lakini hata wewe mwanaume kuna vitu ni tegemezi kwa huyo.mwanamke, sema sio tangible hivyo unaviona haina impact, ila akiondoka kwenye maisha yako lazima magep uyaone.
Halafu huyo mtibeli karipoti comment yangu taahira kabisa..!! 😹😹🤣🤣🤣🤣 Umejua kunifurahisha sana aisee
Acha ujinga, mzee mkeo unayemkojolea..!!Hasira za nini Mzee?
Hasira ziko wapi hapo?Mbona una hasira sana Kwa vitu vidogo
Halafu huyo mtibeli karipoti comment yangu taahira kabisa..!! 😹😹
Hataki kuambiwa ukweli
Acha ujinga, mzee mkeo unayemkojolea..!!
Na uache kuripoti kwa mods ni upumbavu huo..!!