hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Ila watu 😄Amenena kweli,
Ungeweka hiyo clip basi
Ila watu 😄Amenena kweli,
Ungeweka hiyo clip basi
😀😀😀Kwa mantiki hiyo basi "kila mwanaue lofanikiwa nyuma yake kuna jamii nzima". Maana hakuna backup ya msngi hapo watakayoiwafa hao watu ambayo wetu wengine hawafanyi. Huwezi ukawa umekamilisha safari yangu kwa namna moja au nyingine na ukapaza sauti ukisema YOU HAVE MY BACK,
Hapo unamaanisha hata bodaboda akinipunguzia nauli ya safari pia amekalisha kwa namna moja au nyingine, je niseme yupo nyuma ya mafanikio yangu? mangi anaenikopa vitu dukani kila siku pia niseme gupo nhuma ya mafanikio yangu?? Hizi mada za kumpachikiza mwanamke kwa mwanaume hua zinakosa mashiko upande wa wanawake sababu ya KUPACHIKIZWA, thats it, kupachikizwa.
Ukweli ni kwamba nje ya penzi na matokeo yake..... hatuwahitaji wanawake kabisa.
😄😄😁Daahh + reference,View attachment 3556363
Hii ni tafsiri kutoka kamusi ya cambridge. Cambridge ni chuo kikubwa duniani na hizi kazi huwa zinafanywa na wagu waliobbobea. Unaweza ukatafuta sources zingine wewe mwenye kujielewesha zaidi
noma sana damu huwa inapiga kelele na inadai kama ilitokea hivyo moyo wa huyo dada ulikua unamshtaki ,kama mtoto sio damu yako ipo siku tu utajua tu ukweli, tunaona kwenye maandiko takatifu Abeli alivyouliwa na kain Mungu anamwambia kaini damu ya ndugu yako inanililia, hapo kaini ana hatia ya mauaji wa ndugu yake Abeli na moyo unamuuma anamjibu Mungu hovyo tu kuwa Mungu mimi ni mlinzi wa ndugu yangu nijue kilichompata? akala laanaMdogo wangu alikimbia mimba , tukajitolea kulea yule mtoto, baada ya kufikisha miaka mitatu yule binti akaja na wazazi wake kuomba msamaha kuwa mtoto sio wadogo , hayo mambo nilikua nayapinga sana ila yana mambo mengi sana nyuma yake
Wapumbavu hawa, unamuitaje mama yako tegemezi wakati mimba yako aliibeba peke yake mpk akakuzaa?? Umevuta chuchu zake na kakusomesha umefika University umepata ka ajira ka uchawa anaanza kuponda nyoko nyoko mwanamke tegemezi..!! Mapombou yake 😏
Awe anauliza hiyo kauli ya “Nyuma ya mafanikio ya mwanaume, nyuma kuna mwanamke shupavu.” Ina maana gani?
Sio anaropoka km taahira…!!
😀😀Mwanamke nae akitoboa tunaambiwa ni superwoman sijui malkia wa nguvu. Hatujawahi kuambiwa nyuma yake kuna mwanaume.
Ukisikia kutegemeana kwa viumbe hai huwa unafikiri nini?tumesaidiana na mke wangu ndiyo maana imekua na tumekua na familia nzuri ,ila tungetegemeana na mke wangu basi pride ingesimama kati yetu, utegemezi ungekua na kuleta kiburi, majivuno na vikwazo, ila mkisaidiana inakua ooa sana mnakua na dhamira moja na sio mambo ya kutishana kwamba nitakuacha mimi , ila ukiweka utegemezi inagharimu maana ukiachwa utakufa au kuteseka maana ulizoea kumtegemea yeye na sio mwingine unamuona yeye tu ndiyo anaefaa ,na ndiyo neno alaaniwe mwanadamu amtegemea mwanadamu.
Uko sahihi. Hawa Wanawake wanalazimisha umuhimu wao kwenye maisha ya Mwanaume.Wabadilishwe mindset zao.
Ingawaje wapo wanawake wachache sana ambao ukikitana nao ni kama umekutana na malaika
Ona sasa😅noma sana damu huwa inapiga kelele na inadai kama ilitokea hivyo moyo wa huyo dada ulikua unamshtaki ,kama mtoto sio damu yako ipo siku tu utajua tu ukweli, tunaona kwenye maandiko takatifu Abeli alivyouliwa na kain Mungu anamwambia kaini damu ya ndugu yako inanililia, hapo kaini ana hatia ya mauaji wa ndugu yake Abeli na moyo unamuuma anamjibu Mungu hovyo tu kuwa Mungu mimi ni mlinzi wa ndugu yangu nijue kilichompata? akala laana
Kmmk 🤣🙌Wanawake wengi hawana umuhimu kwa wanaume. Wengi wenu ni Liabilities
Nikuambie tuu wazazi wote wenye Akili huwafundisha watoto wao wajiepushe na mambo haya makuu;
a) Wanawake
b) Pombe
c) Kamari
d) Madawa ya Kulevya.
Wanawake wenye tija na bahati nzuri wanajijua. Ila wengi wenu ni Destructor
Kumuuliza kwanini alifanya hivyo , alijibu baba mtoto alikua shule akaona amlinde na hakua na uwezo wa kumtunza mtotoOyaaa😀😄😄😄😄🙌
😁😁😁Wanawake wana mchango mkubwa wa kumrudisha nyuma mwanaume kimaendeleo. Nyuma ya kila mwanaume aliyefilisika kuna mwanamke au kundi la wanawake. Ni watu ambao akikununulia boxer ya Tsh 5000/= lazima ahakikishe unakuja kumnunulia kitu cha laki au zaidi. Majuzi nimemgombeza sana mwanamke wangu alivyonitaarifu chumvi imeisha. Karibia tuachane.
Mafanikio ni very broad term, hata kutunza familia kwa ubora wa hali ya juu ni mafanikio, na hilo linafanywa kwa ufanisi na mwanamke anayejielewa, ila hayo mafanikio yanakuwa directed kwa kichwa cha familia.
🤣🤣 Kilicho mkuta El mencho, Na gwajima na yule mwanamke kwenye connection Yao ya Kono la baunsa kilicho mkuta Idriss sultan Kwa wema sepetuWanawake wana mchango mkubwa wa kumrudisha nyuma mwanaume kimaendeleo. Nyuma ya kila mwanaume aliyefilisika kuna mwanamke au kundi la wanawake. Ni watu ambao akikununulia boxer ya Tsh 5000/= lazima ahakikishe unakuja kumnunulia kitu cha laki au zaidi. Majuzi nimemgombeza sana mwanamke wangu alivyonitaarifu chumvi imeisha. Karibia tuachane.
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna bumunda moja niko nalo hapa nyumbani, eti mnasema nyuma ya mafanikio yangu lipo lenyewe? Nyie wapuuzi nini?
Uko sahihi. Hawa Wanawake wanalazimisha umuhimu wao kwenye maisha ya Mwanaume.
Mimi nimeoa na kuacha mara kadhaa, na hadi sasa nina watoto wa Wanawake 5 tofauti. Ni Mwanamke yupi hapo anaweza kusema mafanikio yangu yanatokana na yeye? Huyu bumunda aliyepo sasa ndo kwanza ana miaka 2 tu.
..na siku akiwa hayupo utajua kama alikuwa anatunza au ni wewe uliyekuwa unaitunza familia.Siku ukiwa haupo ndio utajua huyo mwanamke anajua kutunza familia au ulikuwa ukitunza wewe.
Sisemi hawapo wanawake wachache wenye Tija. Wapo wachache Sana.
Ila wengi wao wanahitaji ukombozi mkubwa wa fikra. Wengi wanahita kupigwa Sanitizer
🤣😁😁Hamkunasa makofi !?Kumuuliza kwanini alifanya hivyo , alijibu baba mtoto alikua shule akaona amlinde na hakua na uwezo wa kumtunza mtoto
Tulimpotezea tu kwasababu dogo alitucheka sana🤣😁😁Hamkunasa makofi !?
MUNGU TUNAMTEGEMEA YES BIG YES MAANA BILA MUNGU HATUWEZI, ILA WANADAMU TUNASAIDIANAUkisikia kutegemeana kwa viumbe hai huwa unafikiri nini?
wanadamu tunategemeana kwa mambo mengi sana , hapa nilipo nategemea mtu afe niuze jeneza nikale , mtu afe nioshe maiti watoto waende shule na mambo mengine mengi , hata usipo tegemea Mungu sijui ,unaishi vizuri tu kama mtategemeana kama binadamu na mazingira yako