RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Kuna wawanaume wengi wanampa mimba wanawake halafu wanakimbia. Wanawake wengi huwa hawakimbii watoto.

Hata kama hawana pesa watajitahidi hivyohivyo kutunza, kulea, kuwatibu na kuwasomesha watoto kwa pesa hiyohiyo ya kuungaunga.

Watapambana hata kuuza samaki, mchicha, vitumbua, maandazi, soda, maji, mama ntilie mtaani.

Utegemezi wao kwa kiasi kikubwa ni mifumo, utamaduni, uchumi, historia na bailojia inavyofanya kazi.
Mdogo wangu alikimbia mimba , tukajitolea kulea yule mtoto, baada ya kufikisha miaka mitatu yule binti akaja na wazazi wake kuomba msamaha kuwa mtoto sio wadogo , hayo mambo nilikua nayapinga sana ila yana mambo mengi sana nyuma yake
 
Kuna wawanaume wengi wanampa mimba wanawake halafu wanakimbia. Wanawake wengi huwa hawakimbii watoto.

Unaposema mwanamke anapewa mimba unazungumzia kiumbe kisicho na utambuzi au unazungumzia kitu gani?

Mimi ninajua mpaka mwanamke anabeba mimba lazima atakuwa anajua mtoto wake atakua vipi, atamleaje.

Ndio maana viumbe wengine wa jinsia ya kike hawawezi kubeba mimba au kutaja mayai kama hawana uwezo wa kutunza au kulea watoto wao.
Hata kama hawana pesa watajitahidi hivyohivyo kutunza, kulea, kuwatibu na kuwasomesha watoto kwa pesa hiyohiyo ya kuungaunga.

Watapambana hata kuuza samaki, mchicha, vitumbua, maandazi, soda, maji, mama ntilie mtaani.
Hichi ndicho wanatakiwa kukifanya na ndio utamaduni unaotakiwa.

Sio Jambo kubwa mwanamke kumlea mtoto aliyemzaa kwani ni sehemu ya Nature.
Kufanya kazi na kulea watoto wanawake wengi huchukulia kama hisani na sio wajibu wao.

Utegemezi wao kwa kiasi kikubwa ni mifumo, utamaduni, uchumi, historia na bailojia inavyofanya kazi.

Lazima ujiulize kwa nini mfumo huo uliwekwa? Ulitokea.
Ukijiuliza ukapata majibu ndipo unaweza kupata uwiano mzuri wa majibu
 
Tatizo la wewe Mpare ni Ujuaji Mwingi, Mbele Giza.
Ndo maana siku hizi umepoteza kabisa ushawishi hapa jamvini.

Iko hivi "kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake"

Ulitakiwa kukaa chini na kutafakari kwa kina hii kauli, kabla hujatoka na kuanza kuandika ili utembee na upepo.

Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.

Hata mke pia, anaweza kuwa, wapo wanawake walio sacrifice na kujitoa kwa waume zao na mafanikio yakatamalaki ndani yao.

Acha Kukurupuka.
 
Mtaka alikwambia anataka kupendwa na wanawake?

Kazi yake kuongea ukweli, inatosha...
Sijamsikiliza huyo Mtaka aliwasilisha vipi ujumbe wake, lakini wote tunajua wanawake hawapendi kuambiwa ukweli. Kama huyo Mtaka aliwapa dozi kwa ile flow ya kihip hop ategemee kutengenezewa chuki ya chini kwa chini na hao wanawake ambao ni moja ya kundi la watu anaowaongoza. Labda kama ali-sugarcoat kidogo dozi ndio inaweza isilete shida
 
Tatizo la wewe Mpare ni Ujuaji Mwingi, Mbele Giza.
Ndo maana siku hizi umepoteza kabisa ushawishi hapa jamvini.

Iko hivi "kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake"

Ulitakiwa kukaa chini na kutafakari kwa kina hii kauli, kabla hujatoka na kuanza kuandika ili utembee na upepo.

Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.

Hata mke pia, anaweza kuwa, wapo wanawake walio sacrifice na kujitoa kwa waume zao na mafanikio yakatamalaki ndani yao.

Acha Kukurupuka.
Ukifatilia asili ya huo msemo, mwanamke aliemaanishwa ni mke. Msemo ni wa zamani kidogo, labda kwa kioindi hicho ulikua na ukweli. Lakini kwa batch ya wanawake tulionao sasa, huo msemo hauna ukweli tena
 
Samia achia kiti wanaume tupumue haya mambo ya haki sawa tulikuwa hatuyasikii sana wakat wa tawala za wanaume hebu toka bwana achia kiti mamamamae
 
Ukifatilia asili ya huo msemo, mwanamke aliemaanishwa ni mke. Msemo ni wa zamani kidogo, labda kwa kioindi hicho ulikua na ukweli. Lakini kwa batch ya wanawake tulionao sasa, huo msemo hauna ukweli tena
Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"

Km kawaida yako kutaka kujichukulia points, basi hapa umebugi.
 
Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.
Kwa mantiki hiyo basi "kila mwanaue lofanikiwa nyuma yake kuna jamii nzima". Maana hakuna backup ya msngi hapo watakayoiwafa hao watu ambayo wetu wengine hawafanyi. Huwezi ukawa umekamilisha safari yangu kwa namna moja au nyingine na ukapaza sauti ukisema YOU HAVE MY BACK,

Hapo unamaanisha hata bodaboda akinipunguzia nauli ya safari pia amekalisha kwa namna moja au nyingine, je niseme yupo nyuma ya mafanikio yangu? mangi anaenikopa vitu dukani kila siku pia niseme gupo nhuma ya mafanikio yangu?? Hizi mada za kumpachikiza mwanamke kwa mwanaume hua zinakosa mashiko upande wa wanawake sababu ya KUPACHIKIZWA, thats it, kupachikizwa.

Ukweli ni kwamba nje ya penzi na matokeo yake..... hatuwahitaji wanawake kabisa.
 
Back
Top Bottom