Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Siku hizi ukisema ukweli unapachikwa jina la "mkale" au "mtetea mfumo dume" lakini huo ndo ukweli upende au uchukie.
Sasa hili la jamii nzima, ni lako wewe, sisi tunajadili hili lililopo kwenye huu msemo, otherwise anzisha nawee msemo mwingine wenye hilo ulitakalo.Kwa mantiki hiyo basi "kila mwanaue lofanikiwa nyuma yake kuna jamii nzima". Maana hakuna backup ya msngi hapo watakayoiwafa hao watu ambayo wetu wengine hawafanyi. Huwezi ukawa umekamilisha safari yangu kwa namna moja au nyingine na ukapaza sauti ukisema YOU HAVE MY BACK,
Hapo unamaanisha hata bodaboda akinipunguzia nauli ya safari pia amekalisha kwa namna moja au nyingine, je niseme yupo nyuma ya mafanikio yangu? mangi anaenikopa vitu dukani kila siku pia niseme gupo nhuma ya mafanikio yangu?? Hizi mada za kumpachikiza mwanamke kwa mwanaume hua zinakosa mashiko upande wa wanawake sababu ya KUPACHIKIZWA, thats it, kupachikizwa.
Ukweli ni kwamba nje ya penzi na matoko yake..... hatuwahitaji wanawake kabisa.
Tatizo ni tafsiri. Wala hakuna shida.Huo msemo kama unakata kote kote🤔
Tatizo la wewe Mpare ni Ujuaji Mwingi, Mbele Giza.
Ndo maana siku hizi umepoteza kabisa ushawishi hapa jamvini.
Iko hivi "kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake"
Ulitakiwa kukaa chini na kutafakari kwa kina hii kauli, kabla hujatoka na kuanza kuandika ili utembee na upepo.
Hicho ndicho alichokataa Anthony Mtaka.Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.
Hata mke pia, anaweza kuwa, wapo wanawake walio sacrifice na kujitoa kwa waume zao na mafanikio yakatamalaki ndani yao.
Acha Kukurupuka.
Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"
Km kawaida yako kutaka kujichukulia points, basi hapa umebugi.
Noma sana mzee mwenzangu. Hivi nyuma ya mwanaume aliefeli kuna nani? (zingatio: wanaume waliofeli ni wengi zaidi ya waliofanikiwa)Kwa mantiki hiyo basi "kila mwanaue lofanikiwa nyuma yake kuna jamii nzima". Maana hakuna backup ya msngi hapo watakayoiwafa hao watu ambayo wetu wengine hawafanyi. Huwezi ukawa umekamilisha safari yangu kwa namna moja au nyingine na ukapaza sauti ukisema YOU HAVE MY BACK,
Hapo unamaanisha hata bodaboda akinipunguzia nauli ya safari pia amekalisha kwa namna moja au nyingine, je niseme yupo nyuma ya mafanikio yangu? mangi anaenikopa vitu dukani kila siku pia niseme gupo nhuma ya mafanikio yangu?? Hizi mada za kumpachikiza mwanamke kwa mwanaume hua zinakosa mashiko upande wa wanawake sababu ya KUPACHIKIZWA, thats it, kupachikizwa.
Ukweli ni kwamba nje ya penzi na matokeo yake..... hatuwahitaji wanawake kabisa.
Fuatilia asili ya huo msemo. Mwanamke aliemaanishwa ni mke. Ndio maana msemo huo unakosa uhalali kwa sasa. Lakini ingekua mwanamke kama mwanamke basi msemo ungekua sahihi, na mwanamke huyo ni mama.Huo msemo kama unakata kote kote🤔
Mwanaume ukifeli huwezi sikia wanakuambia Kuna mwanamke nyuma Bali mwanaume pekee kwenye mafanikio ndo wanakuambia Kuna mwanamke nyumaNoma sana mzee mwenzangu. Hivi nyuma ya mwanaume aliefeli kuna nani? (zingatio: wanaume waliofeli ni wengi zaidi ya waliofanikiwa)
Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"
Km kawaida yako kutaka kujichukulia points, basi hapa umebugi.
Mbona hata mke anaweza kuwa chachu ya mafanikio mkuu?Fuatilia asili ya huo msemo. Mwanamke aliemaanishwa ni mke. Ndio maana msemo huo unakosa uhalali kwa sasa. Lakini ingekua mwanamke kama mwanamke basi msemo ungekua sahihi, na mwanamke huyo ni mama.
Huko kwingine hakuna maana, natulia hapo kwenye kusema nimejipeleka kwenye hoja ya mtaka na haina mashiko.Kumbe nilikuwa naushawishi Hilo sikuwa nalijua. Nashukuru kuona hata wewe huenda nilikuwa nakushawishi.
Uliwahi kuona mwandishi ambaye hatafakari? Sifa namba moja ya mwandishi kabla ya lugha ni kutafakari.
Sema wewe msomaji maana sio wasomaji wote Wana sifa ya kutafakari
Hicho ndicho alichokataa Anthony Mtaka.
Na bahati nzuri umejipeleka Mwenyewe kwenye hoja yake. Ambayo inamashiko
Saikolojia inaonyesha hoja inawaumiza zaidi walengwa, wale inayowagusa.
Hao wanawake wachache wenye michango kwa wanaume hawawezi umizwa na post Yangu, wala kauli ya Anthony Mtaka.
Kwa sababu wanajua ni kweli nyuma ya Mafanikio ya wanaume sio lazima awepo mwanamke.
Ila wale Vishoiya kama wewe lazima iwaume kwa sababu ni kweli mnaona hamna mnachokichangia.
Zingatia kwenye post Yangu nimetumia maneno mengi yanayosema Wanawake wengi. Kumaanisha sio wote.
100%Ukweli ni ukweli tuu
Mwanamke nae akitoboa tunaambiwa ni superwoman sijui malkia wa nguvu. Hatujawahi kuambiwa nyuma yake kuna mwanaume.Mwanaume ukifeli huwezi sikia wanakuambia Kuna mwanamke nyuma Bali mwanaume pekee kwenye mafanikio ndo wanakuambia Kuna mwanamke nyuma
Exception case. In most cases mwanamke ni liability kwenye maisha ya mwanaume. Ukifanya comparison utaona mwanaume ndie anaetoa zaidi.Mbona hata mke anaweza kuwa chachu ya mafanikio mkuu?
Kwahiyo hakuna umuhimu wa wanawake ktk maisha ya mwanaume???Asili ya huo msemo ni kuwapa moyo wanawake, kuonyesha umuhimu wa wanawake katika maisha ya mwanaume.
Lakini hauna ukweli.
Kimantiki hakuna hoja kama hiyo.
Kibongo bongo nyuma ya mafanikio ya mwanaume , kuna ukwepaji kodi, utapeli , ujambazi , roho ngumu, kujipendekeza na ukatili wa kutisha , tofauti na hapo tunaisha kwenye nyumba gari na milo mitatu tu😅Huko kwingine hakuna maana, natulia hapo kwenye kusema nimejipeleka kwenye hoja ya mtaka na haina mashiko.
Kwahiyo hao niliowataja hawana mchango wowote ktk mafanikio ya wanaume?? Tena unasema ni juhudi zao binafsi?? Km zipi?
Mtoto wa kiume analelewa hadi kuja kuwa mkubwa , anapewa mahitaji, malezi bora, Elimu, Uchumi ( mtaji, ajira etc) kutoka kwa mama ake au 1wapo kati ya hao niliowataja, afu useme juhudi zake binafsi kwenye kipi??.
Km ni hivyo si wangekua wanaume wote wana mafanikio hapa nchini. Mbona hakuna??
Au wenye mafanikio ni wanaume, na hawa apeche alolo ni kina nani? Wakiume au wavulana??
Au labda "mafanikio" nini maana yake? Huenda mie sijui, kuna maana nyingine ambayo ndiyo mna refer hapa.
Sasa hii inaingia KWENYE mafanikio ya mwanammeNingekubaliana na wewe kwa 100% kama mama yangu asingekuwa mwanamke
😅kwa sasa sijui ila kipindi cha mama zetu walikua wanawake wa shoka , mimi mpaka leo mama yangu ananisisitiza nije kuoa mwanamke mchapa kazi niwakwepe wale wa kucha ndefu sijui kwa nini😃Exception case. In most cases mwanamke ni liability kwenye maisha ya mwanaume. Ukifanya comparison utaona mwanaume ndie anaetoa zaidi.
Swali nzuri sana hili,watu wengi hudhani mifumo hutokea tu bila sababu,na mara nyingi hushindwa kuona upana zaidi wa jambo,Bali wengi husukumwa na mkumbo.Lazima ujiulize kwa nini mfumo huo uliwekwa? Ulitokea.
Ukijiuliza ukapata majibu ndipo unaweza kupata uwiano mzuri wa majibu
Hapo lazima umkute mwanamke, amekaa analalamika kwa mambo alosababisha mwenyeweNoma sana mzee mwenzangu. Hivi nyuma ya mwanaume aliefeli kuna nani? (zingatio: wanaume waliofeli ni wengi zaidi ya waliofanikiwa)