RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

namba 7 ✔️

na sio kwa kumtegemea mwanamke tu bali amtegemea mwanadamu yoyote basi amelaaniwa na amefili tayari
 
Kwahiyo hakuna umuhimu wa wanawake ktk maisha ya mwanaume???
😂😂😂 em nijibu tafadhari.

Wanawake wengi hawana umuhimu kwa wanaume. Wengi wenu ni Liabilities

Nikuambie tuu wazazi wote wenye Akili huwafundisha watoto wao wajiepushe na mambo haya makuu;
a) Wanawake
b) Pombe
c) Kamari
d) Madawa ya Kulevya.

Wanawake wenye tija na bahati nzuri wanajijua. Ila wengi wenu ni Destructor
 

Narcissistic personality disorder​


Narcissistic personality disorder is a mental health condition in which people have an unreasonably high sense of their own importance.

They need and seek too much attention and want people to admire them. People with this disorder may lack the ability to understand or care about the feelings of others.


Uliwahi kujiuliza ni lini utatumia Akili zako bila kutegemea Google?
 
Hakuna mwanaume bila mwanamke, wakatae wakubali,
Bila mwanamke, hata wao wasingezaliwa, na kuanza kuropoka ropoka hovyo hapa.

Kuzaa hata panya anazaa.

Ni Sawa na wale wanaume wanaokuzalisha na kukutelekeza alafu wamwambie mtoto wako bila yeye kukutia mimba asingezaliwa.

Ni akili za watu wenye upeo Mdogo Sana.

Hakuna aliyepanga kukuzaa hapa duniani. Na wewe hukupanga kuzaliwa.
So ni mtu mjinga kufikiri kwa namna yako.

Mafanikio tunazungumzia juhudi za makusudi sio bahati nasibu.

Wewe hapo ulipo hujui utamzaa Nani, atafananaje, maisha yake yatakuweje, ataishi miaka mingapi, naye hajui atazaliwa na wewe.

So kufikiri kwa namna yako ni dalili tosha upeo wako unahitaji booster
 
Kapiga kwenyewe.
Wanawake wenye mchango kwa wanaume ni wachache Sana wengi wao asilimia 99 ni destructors.

Humu ndani utawaona tuu. Bahati nzuri ni wengi hivyo sio wakitafuta
Wanawake wana mchango mkubwa wa kumrudisha nyuma mwanaume kimaendeleo. Nyuma ya kila mwanaume aliyefilisika kuna mwanamke au kundi la wanawake. Ni watu ambao akikununulia boxer ya Tsh 5000/= lazima ahakikishe unakuja kumnunulia kitu cha laki au zaidi. Majuzi nimemgombeza sana mwanamke wangu alivyonitaarifu chumvi imeisha. Karibia tuachane.
 
Na kwanini huwa hatuambiwi nyuma ya kufeli kwa Mwanaume kuna nani?Usikute yupo Mwanamke, ila hilo hawataki kulisema.

Warejelee Hawa pale bustanini Edeni, Malkia Yezebel, Marie Antoinette pale Ufaransa, Mke wa Laurent Gbagbo wa Ivory Coast, vurugu za Lucy Kibaki pale Kenya au Grace Mugabe pale Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom