RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Kibongo bongo nyuma ya mafanikio ya mwanaume , kuna ukwepaji kodi, utapeli , ujambazi , roho ngumu, kujipendekeza na ukatili wa kutisha , tofauti na hapo tunaisha kwenye nyumba gari na milo mitatu tu😅
Hata km bado kuna mwanamke nyuma, hadi mwanaume kuwa hivyo. 😂😂😂
 
Wapumbavu hawa, unamuitaje mama yako tegemezi wakati mimba yako aliibeba peke yake mpk akakuzaa?? Umevuta chuchu zake na kakusomesha umefika University umepata ka ajira ka uchawa anaanza kuponda nyoko nyoko mwanamke tegemezi..!! Mapombou yake 😏

Awe anauliza hiyo kauli ya “Nyuma ya mafanikio ya mwanaume, nyuma kuna mwanamke shupavu.” Ina maana gani?
Sio anaropoka km taahira…!!
Mbona una hasira sana Kwa vitu vidogo
 
Yeah binadamu tunategemeana sana ,binafsi mimi michongo mingi huwa wananiunganishia wanawake, hivyo bado naona umuhimu wao mkubwa sna
Hakuna mwanaume bila mwanamke, wakatae wakubali,
Bila mwanamke, hata wao wasingezaliwa, na kuanza kuropoka ropoka hovyo hapa.
 
Hakuna mwanaume bila mwanamke, wakatae wakubali,
Bila mwanamke, hata wao wasingezaliwa, na kuanza kuropoka ropoka hovyo hapa.
Wewe ni kwanini unaona wengi wanapinga hilo 😅 au mnawapinga mizinga mizito mizito sana vijana😄
 
Kwani lazima si kuachana nayo tyuuh, na mmesema wanawake hawana umuhimu ktk maisha ya mwanaume, sasa vilio vya nini??
😂😂😂
Mimi nalia na hela ya kulipia uchakavu ipo juu sana 😅 na sio vinginevyo
 
Kulipia uchakavu muhimu wewe unafikiri nitaponea wapi
Sasa kelele za nini? Mbona hamueleweki?
Au mnataka uchakavu buree, bila marekebisho au matengenezo? Wengine watatumiaje sasa??
😂😂😂😂😂
 
Sasa kelele za nini? Mbona hamueleweki?
Au mnataka uchakavu buree, bila marekebisho au matengenezo? Wengine watatumiaje sasa??
😂😂😂😂😂
Tatizo sisi tunalipia uchakavu ila kuna wengine wanapewa bure , hapo ndio kuna mgogoro wa nafsi 🤔
 
Dogo GT Hahaha 😆 nakushauri uswitch kutoka Gambe hadi bangi. Ama komaa na bange pekee yake. Hahaha.
Bangi ni taka taka kabisa kuna siku nilivuta nikajiona kama nipo ndani ya kichwa changu napangilia mafaili ya kumbukumbu 🚮
 
Haya hata km ni hivyo, mbona wako wake walio nyuma ya mafanikio ya waume zao.
In most cases huo mchango unakuaga ni intangible contributions. Kwanza umekaa kisiasa zaidi yaani hauonekani, haupimiki vilevile ni mchango ambao hata kama mke asingekuwepo bado mwanaume angeweza kutoboa tu.

Wanawake huwa wanavizia wanaume ambao wamefanikiwa au wapo kwenye hatua za kufanikiwa halafu wao ndio wanajipachika hapo, halafu wanakuja na huo msemo, lakini ukiangalia kiundani hawakushiriki kwenye kutengeneza msingi uliompa mafanikio huyo mwanaume.

Mwanaume aje kwenye mahusiano na hela, assets na stability. Mwanamke aje na sala, peace of mind na sex. Ukiangalia hizo intangible contributions za mwanamke hata zikikosekana bado mwanaume anaweza kutoboa tu.
 
Back
Top Bottom