cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Inategemea na mmiliki wa jengo, nani alipie, na nani atumie buree.Tatizo sisi tunalipia uchakavu ila kuna wengine wanapewa bure , hapo ndio kuna mgogoro wa nafsi 🤔
Hapangiwi.
Inategemea na mmiliki wa jengo, nani alipie, na nani atumie buree.Tatizo sisi tunalipia uchakavu ila kuna wengine wanapewa bure , hapo ndio kuna mgogoro wa nafsi 🤔
Sasa km ni hivyo kuna haja ya gani ya mwanaume kuwa na mwanamke? Km anajiweza na kujimudu yeye binafsi pekeee??In most cases huo mchango unakuaga ni intangible contributions. Kwanza umekaa kisiasa zaidi yaani hauonekani, haupimiki vilevile ni mchango ambao hata kama mke asingekuwepo bado mwanaume angeweza kutoboa tu.
Wanawake huwa wanavizia wanaume ambao wamefanikiwa au wapo kwenye hatua za kufanikiwa halafu wao ndio wanajipachika hapo, halafu wanakuja na huo msemo, lakini ukiangalia kiundani hawakushiriki kwenye kutengeneza msingi uliompa mafanikio huyo mwanaume.
Mwanaume aje kwenye mahusiano na hela, assets na stability. Mwanamke aje na sala, peace of mind na sex. Ukiangalia hizo intangible contributions za mwanamke hata zikikosekana bado mwanaume anaweza kutoboa tu.
Unazungukaa sana wee mpare, jibu km wanawake hawana umuhimu ktk maisha ya wanaume ili uelewekeWanawake wengi hawana umuhimu kwa wanaume. Wengi wenu ni Liabilities
Nikuambie tuu wazazi wote wenye Akili huwafundisha watoto wao wajiepushe na mambo haya makuu;
a) Wanawake
b) Pombe
c) Kamari
d) Madawa ya Kulevya.
Wanawake wenye tija na bahati nzuri wanajijua. Ila wengi wenu ni Destructor
Ko hutakiii??Hakuna kitu kama hicho
Unajua bado hata hujibu kile mie nakuuliza? Hizo juhudi binafsi si nimeuliza zipi?Kuzaa hata panya anazaa.
Ni Sawa na wale wanaume wanaokuzalisha na kukutelekeza alafu wamwambie mtoto wako bila yeye kukutia mimba asingezaliwa.
Ni akili za watu wenye upeo Mdogo Sana.
Hakuna aliyepanga kukuzaa hapa duniani. Na wewe hukupanga kuzaliwa.
So ni mtu mjinga kufikiri kwa namna yako.
Mafanikio tunazungumzia juhudi za makusudi sio bahati nasibu.
Wewe hapo ulipo hujui utamzaa Nani, atafananaje, maisha yake yatakuweje, ataishi miaka mingapi, naye hajui atazaliwa na wewe.
So kufikiri kwa namna yako ni dalili tosha upeo wako unahitaji booster
😂😂😂 sasa mie ndo naendeshwa na emotional??Huyo ambaye anashindwa kuelewa mantiki ndogo kama zangu hawezi kuwa na sifa hizo. Nina uhakika.
Ili mwanamke awe na tija lazima awe na some man characters ikiwemo kutokuendeshwa na emotional
Achilia hayo yote, ile kukuzaa tyuuh, mama yako ambaye ni mwanamke yuko nyuma yako.Sikiliza Binti.
Hoja yako haina mashiko kwa sababu watu wote unaona hapa dunia hawajashuka kutoka mbinguni. Walizaliwa, wakakuzwa na sasa wamekua watu wazima.
Kwani watu wote wamefanikiwa?
Wapo watu wamelelewa vituo vya Yatima.
Wapo watu wamelelewa na Baba, wajomba, kaka na mababu.
Wapo waliolelewa na Mama, Bibi, shangazi, dada
Wapo waliokulia mtaani.
Wangapi waliokuzwa wakasomeshwa na bado hawajafanikiwa?
Wangapi wamepewa urithi hawajafanikiwa?
Mafanikio kwa sehemu kubwa ni Suala la mtu binafsi, juhudi za mtu Kwa sehemu kubwa.
Kauli tunayoipinga ni hiyo kauli ya kutapeli kwamba Kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake yupo mwanaume. Jambo ambalo ni Uongo mkubwa. Hiyo ndio hoja
Hao wachache ni wanawake au wanaume? Mbona hata hujui unachokipigania?Siku ukiwa haupo ndio utajua huyo mwanamke anajua kutunza familia au ulikuwa ukitunza wewe.
Sisemi hawapo wanawake wachache wenye Tija. Wapo wachache Sana.
Ila wengi wao wanahitaji ukombozi mkubwa wa fikra. Wengi wanahita kupigwa Sanitizer
😂😂😂😂Kama walivyo wanaume nao ni pia wapo mizigo, tena nyie gender yenu ndo Vimeo vingi… kuna wenzenu wameamua kuwa Mario ili wapate mafanikio, wengine wameamua kuvuliwa ubingwa wapate mafanikio..!!
Hapo utasema mafanikio yao nyuma kuna nini??
Mkuu haya mambo mara nyingi watu hutoa maoni yao kulingana na maisha waliyoishi au wanayoishi.Ningekubaliana na wewe kwa 100% kama mama yangu asingekuwa mwanamke
Yeah mimi baba na mama wote walikua wachapa kazi na walishirikiana hivyo mtu akisema wanawake hawana mchango nashangaa sanaMkuu haya mambo mara nyingi watu hutoa maoni yao kulingana na maisha waliyoishi au wanayoishi.
Sio rahisi kumwambia wanawake sio wapambanaji, wadangaji, wapenda mseleleko kwa mtu ambae mama/bibi/dada/shangazi yake ndio aliemlea kwa kazi ndogondogo ambazo hata yeye alishiriki mpaka anakua mtu mzima.
Pia sio rahisi kwa mtu ambae kalelewa na baba na mama, huku baba akiwa main provider na mama akiwa mama wa nyumbani, kumuaminisha kua mama ni powerful na vitu kama hizo.
Kwangu pia bi mkubwa ana mchango mkubwa sana, hata mshua alipofariki bado yeye ndo alikua nguzo kuu.Yeah mimi baba na mama wote walikua wachapa kazi na walishirikiana hivyo mtu akisema wanawake hawana mchango nashangaa sana
SureKwangu pia bi mkubwa ana mchango mkubwa sana, hata mshua alipofariki bado yeye ndo alikua nguzo kuu.
Kuna vitu sasa hivi vinaendelea huku mitandaoni ukifatilia sana unaona ni hisia za watu tu na sio uhalisia.
Ni kumakinika, ila ubaya ni kua madogo wa buku bee kama Poor Brain wanabeba kila kitu cha mtandaoni
Katika zama hizi tulizo nazo hizi ndizo kauli zakufutw kabisa, mafanikio ya mtu ni juhudi za mtu mwenyewe maana wanawake mara nyingi ni tegemezi au labda kama kauli hiiiii inajikota katika fact ya kwamb tulizaliwa na mwanamkeHamjambo wote!
1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke.
2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake.
3. Huku akisema mafanikio kwa mtu yeyote yanahitaji juhudi kubwa za makusudi kwa mtu husika.
4. Ni Kweli kabisa mwanaume hahitaji mchango wa mwanamke Kufanikiwa.
5. Ni kweli Wanaume wengi wanafanikiwa kwa juhudi zao bila wanawake.
6. Kauli hiyo ilipotolewa upokeaji wa taarifa hiyo haukushangiliwa. Wanawake walionekana kutofurahishwa na taarifa hiyo.
7. Kwa ufahamu wangu, mwanaume anayemtegemea mwanamke lazima AFELI kimafanikio.
8. Kwa sababu kwa sehemu kubwa Wanawake kwenye uchumi wa mwanaume wengi wao asilimia tisini ni Liability.
9. Wanawake kama. liabilities zingine usipokuwa makini lazima ufeli maisha kama utawaendekeza.
10. Wanawake wengi ni tegemezi wanawezaje kumfanya mwanaume afanikiwe?
11. Wanawake wengi hawana akili za uzalishaji kutokana na upeo Mdogo wanawezaje kuwa msukumo katika mafanikio ya mwanaume?
12. Wanawake wengi wanawaza matumizi ya pesa kuliko kutafuta pesa. Wanawezaje kuwa chachu ya mafanikio ya mwanaume?
13. Mwanamke anayekosa hata pesa ya nauli, chupi, vocha, ambazo ni pesa mtu anaweza kujitafutia hata kwa kuuza karanga au maandazi. Anawezaje kuwa nguzo ya mafanikio ya mwanaume?
14. Wanawake wanaoangalia waume za watu wenye vipato ili wawabebee mimba kusudi wapate Mali wanawezaje kuwa msingi wa mafanikio ya mwanaume?
15. Wanawake wengi ambao kulea watoto wao peke yao bila wanaume wanalalamika kanakwamba wanalea watoto ambao hawakuwazaa.
Wanashindwa hata na kuku, panya na wanyama. Wanawawezaje kuwa msingi wa mafanikio ya mwanaume.
Kulea mtoto pekeako ni Jambo dogo Sana wala sio la kutamba kwani ni Jambo ambalo hata viumbe wengine wasio na akili kama binadamu wanafanya tena kwa Weledi.
16. Wanawake ambao wanahitaji upendeleo ili wafanikiwe, wapewe viti maalumu, ndio wawe msingi wa mafanikio ya mwanaume. Seriously?
17. Wanawake ambao wengi wao hata wakiwa na pesa wanashindwa kutoa kidogo kwa waume zao ndio hao wanaambiwa ni msingi wa mafanikio ya mwanaume?
18. Anthony Mtaka amewapa Ukweli mchungu Sana ambao wanatakiwa waufanyie kazi.
19. Lakini pia ni tahadhari kwa wanaume hasa vijana ambao kauli hiyo inaweza kuwaathiri kimtazamo kuwa ili afanikiwe anahitaji kutafuta mwanamke sahihi ili atoboe Jambo ambalo ni Uongo Mkubwa.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Shekhe 007Kwangu pia bi mkubwa ana mchango mkubwa sana, hata mshua alipofariki bado yeye ndo alikua nguzo kuu.
Kuna vitu sasa hivi vinaendelea huku mitandaoni ukifatilia sana unaona ni hisia za watu tu na sio uhalisia.
Ni kumakinika, ila ubaya ni kua madogo wa buku bee kama Poor Brain wanabeba kila kitu cha mtandaoni
Mkuu Robert Heriel Mtibeli anga za ngono na haya mambo huwa nakunyoshea mikono yote miwili. Hapa umepiga penyewe. Naomba ridhaa yako nikapost kwenye page yangu andiko hili.Hamjambo wote!