Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wapumbavu hawa, unamuitaje mama yako tegemezi wakati mimba yako aliibeba peke yake mpk akakuzaa?? Umevuta chuchu zake na kakusomesha umefika University umepata ka ajira ka uchawa anaanza kuponda nyoko nyoko mwanamke tegemezi..!! Mapombou yake 😏hivi si niliambiwa tumeacha matusi😅😅😅
Nafikiri anazungumzia mke wake na wanawawake wa sayari nyingine,sio sayari hii
Labda inawezekana kuna kiukwel ndani yake mkuu😅Nafikiri anazungumzia mke wake na wanawawake wa sayari nyingine,sio sayari hii
🤣🤣🤣🤣 Umejua kunifurahisha sana aiseeNa sisi hivyo hivyo wacenge nyie..!!
Mtaka alikwambia anataka kupendwa na wanawake?
Kazi yake kuongea ukweli, inatosha...
Na sisi hivyo hivyo wacenge nyie..!!
Ningekubaliana na wewe kwa 100% kama mama yangu asingekuwa mwanamke
Huo ndo ukweli ambao wengi hawataki kukubali. Wewe kama mwanaume utafanikiwa kwa juhudi zako, maarifa yako na upambanaji wako na sio kwa kutegemea akili na mawazo ya mwanamke. Akiwa mchango wowote kwako basi hiyo ni bonus tu lakini kama utaishi kwa kutegemea akili ya mwanamke eti akusaidie kujikwamua utakwama na utafeli vibaya sana. Kwamba Mo na Bakheresa walifanikiwa kwasababu ya akili za wake zao? Hiyo haiwezekani.
Mafanikio unamaanisha nini? utajiri? Kama utajiri nakubaliana na wewe. Wanaume wengi tunapata utajiri kwa mbinu ngumu za kifisadi ambazo girlfriends/wake zetu hawaziwezi. Ila mafanikio ni dhana pana. Hata kulisha, kusafisha, kutunza watoto, ni aina ya mafanikio ambayo wanaume wengi wanayapata kupitia wanawake. Binafsi naamini wanawake ambao hawana mchango chanya kwenye familia zao ni wachache sana. Tatizo tulilo nalo ni hawa feminists uchwara. Wao wanaamini asilimia kubwa ya matatizo ya mwanamke chanzo ni mwanaume na asilimia kubwa ya mafanikio ya mwanaume chanzo ni wao.