RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

Nilichogundua JF hakuna members ambao ni wamachinga.
Kama sio basi ndugu zao ni Chinga. Unasumbuliwa na mabingwa kwenye keyboard za simu za techno tu.

Hawa nchinga ni watu waliokosa ajira. Biashara huwa ipo mahali inatakiwa iwepo. Mama lishe wapo kwa ajili ya hawa commenters wanaokula wali wa buku , jeuri ya kula hotel haipo.
Mihogo sijui posta ipo kwa kuwa wateja wapo
Ujinga tu na utoto uko humu jf
 
Makala anatafuta kiki , hana pa kuwapeleka hao watu . Kauli za wanasiasa huwa zinachangamsha gemge tu waongo sana 😊😊 Makonda aliropoka mengi alipopewa ukuu wa mkoa akaishia kubeba gobole kwenda clouds kumwaga damu 😅😅😅😅 wote pimbi tu hawa wanabwabwaja tu

 
Itakuwaje sasa kwa WANYONGE ?
 
Mara nyingi huwa nasema humu kwamba mambo mengi ya humu mitandaoni huwa si picha halisi ya huko mitaani ila watu huwa wananikatalia.
 
Afadhali Mwendazake alituchafulia Jiji
 
Hayati alikosa exposure hakuna mji duniani uko ovyo kama dar,mamalishe anapikia kuni chini ya transfoma pembeni kuna bank mbele kuna jengo la ubalozi.Mungu fundi

Siyo hivyo tuuu yaani imefika mahali Mamalishe wanapikia kuni karibu na sheli...

Mwendazake aliwalemaza sana hawa watu et nao wanakubali kujiita wanyonge. Leo hii kuna wapumbavu hawa wajasiliamali wamejazana sana pale kona ya gerezani wanauza maji ya kunywa wanaokota makopo wanajaza mpaka juu chupa ya jambo ina kizibo cha mirinda, hayo maji waliko chota wanajua wenyewe yana usalama gani.. basi tu ilimradi nao ni machinga na wanaambiwa wasibugudhiwe, ndo watunyweshe maji machafu ???

Hii nchi mi na mlaumu sana Nyerere aliwafukuza wazungu mapema sana, ilitakiwa tuendelee kutandikwa viboko mpaka miaka ya 2005 tupewe uhuru tungestaarabika sana ona nchi kama South Africa wamepata uhuru 93 kwa viboko na wamenyooka hata kama baadh yao ni maskin ila maskini walio staarabika.
 
Ni vyema mkuu wa mkoa akawaacha watuwafanye biashara huria la sivyo uhalifu unaweza kuongezaka mtaani maradufu.
 
Kweli atakumbukwa kwa kuyatoa maisha yake kwa ajili ya waTz maskini.
Hezapu muno, conso De vemi, Vamshi mbora, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika umesema ukweli, pale posta mama lishe wapo kwa ajiri ya wengi, hasa wanafunzi wa IFM.
 
Hayati alikosa exposure hakuna mji duniani uko ovyo kama dar,mamalishe anapikia kuni chini ya transfoma pembeni kuna bank mbele kuna jengo la ubalozi.Mungu fundi
Lengo lake lake lilikuwa moja tu kuwatumia kuandamana kuunga azimio la bunge la kumuongezea miaka ya kutawala. Ndo hivyo Mungu ni fundi.
 
sikuhizi mitaa yote ya posta kunakaangwa mihogo yaani ni Moshi Tu wa kuni posta yote
Hivi kuna watu wanakula kweli hivyo vyakula? Mimi siwezi na watu wote wangekuwa na moyo kama mimi hao mama ntilie wangekuwa wameshaacha kufanya hiyo biashara barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…