Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto Wami ambalo liko ndani ya Jimbo lake la Chalinze.

Daraja la Mto Wami limekamilika kwa 96% na litakapokamilika litaweza kuishi kwa Miaka 120. Daraja la Mto Wami linalounganisha Mkoa wa Pwani na Tanga, wakati Rais Samia anaingia madarakani Utekelezaji wake kwa zaidi ya miaka mitatu ilikuwa kwa asilimia 47 tu lakini ndani ya miezi 18 ya kwanza ya Rais Samia, Ujenzi wa Daraja hili kubwa sana na la kisasa umefanyika kwa asilimia 49.

Akizungumza baada ya kutembelea na kufanya shughuli ya ufunguzi wa Daraja hili, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema ukamilishaji wa Daraja hili ni alama nyengine ya Utendaji wa uhakika wa Rais Samia Suluhu Hassan.

 
Mzee Riz1 kwa hili hapana ndugu yangu mzee baba loh...[emoji23]
 
Hawezi kumtaja JPM coz alikuwa kaa la moto kwa wababaishaji wote. Lkn ukweli will remain kuwa daraja la Wami sifa ni kwa JPM!
 
Pongezi na sifa za dhati mama Samia amri jeshi mkuu na rais hadi 2030 na kuendelea huko akiamua kupumzika. Mama ameonesha jinsi anavyotujali ba kutupenda watu wa kaskazin. Sukuma gang walitutenga sana.
 
Ridhiwani Eti leo ni waziri? JPM angefufuka leo sijui kingetokea nini
 

Uzuri ukweli wananchi wanaujua...lala salama Magufuli...
 
Duu huu unaitwa ujasiri wachuki na kuwa muongo Yaniiii Magu nimwiba unaitesa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…