Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

Inafikirisha...
JPM alizindua miradi mingi ya JaKaya...wapambe wakampa sifa.

Leo hii wapambe wanampinga Ridhiwani kumpatia sifa Samia kwa kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm
Kwa hiyo unataka kusema kua Rizi Moko ni mpango mkakati!!
 
Kuna Mahala Katiba ya Tanzania imepiga marufuku mtoto wa aliyekuwa Rais asigombee Urais.?

Nionyeshe nchi moja duniani ambapo Katiba imepiga marufuku mtoto wa Rais kugombea Urais.
Nadhani ni haki ya kila Mtz mwenye sifa stahiki. Sasa inawezekana huyu Hana sifa zaidi ya kuwa mtoto wa ex President.
 
Kwa hiyo utendaji wa rais unepimwa kwa ujenzi wa madaraja?
Magufuli alikuwa rais wa ovyo mnoo, huu ujinga ulipandikizwa na Magufuli.
Kipimo unachotumia kumpimia Magufuli ni Cha ovyo zaidi. Hata hayo madaraja nayo ni kipimo tosha. Na ndiyo maana hata anayeendelea kumalizia hayo madaraja naye tunamsifia pia. Na Kwani Ulitaka tumpime Kwa idadi ya safari za nje?
 
Back
Top Bottom