Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

Hili sio lilianza jengwa enzi za Mwenda zake? Tunajenga Madaraja ila raia wanalala bila kuoga, Vipa umbeele vyetu ni vya kipuuzi sana
 
Nitajuwa mwisho wa Dunia umekaribia. Hili sio Taifa la kifalme.... Labda Nyerere awe kizazi chake kimeangamia

Kuna Mahala Katiba ya Tanzania imepiga marufuku mtoto wa aliyekuwa Rais asigombee Urais.?

Nionyeshe nchi moja duniani ambapo Katiba imepiga marufuku mtoto wa Rais kugombea Urais.
 
Royol Family, hawa wamezaliwa kutawala wajinga
 
Ndiyo unauona ukweli sasa hivi wakati nyie pinga pinga mlipinga Mwendazake alipoanzisha ujenzi? Muwe mnatumia akili zenu vizuri kabla ya kupinga kitu.
Tunampongeza zaidi aliyemalizia kazi. Angetaka asingeendelea na mradi na msingemfanya chochote. Mbona JPM alistopisha mradi wa gesi na hamsemi. Mama anastahili pongezi nyingi sana.
 
Ndio maana tunasema SAMIA ni mtu kazi, yule mwendazakemaneno mengi kazi hamna
 
Kwa nini yeye na baadhi ya wenzake wamevaa kofia za usalama?
 
Bora hata ungemsifia Magufuli, walau ningekuelewa. Maana hilo daraja lilishakuwepo kwenye mpango wa ujenzi kitambo tu! Changamoto ilikuwa ni mtu wa kuanzisha ujenzi wake.

Huyo mama yako atakumbukwa kwa kuanzisha tozo za kukurupuka tu na Madelu wake.
Hawa watu ni wanafikia sana kila raisi alikuwa anaogopa kuanza ujenzi kisa ni pesa hakuna chuma kimekuja kimeaza hata bila tozo
 
Kwa hiyo utendaji wa rais unepimwa kwa ujenzi wa madaraja?
Magufuli alikuwa rais wa ovyo mnoo, huu ujinga ulipandikizwa na Magufuli.
 
Bora hata ungemsifia Magufuli, walau ningekuelewa. Maana hilo daraja lilishakuwepo kwenye mpango wa ujenzi kitambo tu! Changamoto ilikuwa ni mtu wa kuanzisha ujenzi wake.

Huyo mama yako atakumbukwa kwa kuanzisha tozo za kukurupuka tu na Madelu wake.
Magufuli kaliacha ujenzi ukiwa umeanza na kufikia 47% so kumpa sifa Samia na kutoonesha shukrani hata kidogo kwa JPM ni unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…