Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

Bora hata ungemsifia Magufuli, walau ningekuelewa. Maana hilo daraja lilishakuwepo kwenye mpango wa ujenzi kitambo tu! Changamoto ilikuwa ni mtu wa kuanzisha ujenzi wake.

Huyo mama yako atakumbukwa kwa kuanzisha tozo za kukurupuka tu na Madelu wake.
Marais wa nchi hii hawana LIGI WALA KOMBE WANALOGOMBEA. Nchi inaendeshwa kwa mfumo rasmi. Akitoka huyu anaendeleza mema ya mtangulizi wake. Kosa moja naliona kwa baadhi ya watu kufikiri kuna Tanzania ya Hayati mpendwa JPM na Tanzania ya mpendwa Mhe. Rais Samia. #Tusitengeneze sumu. Rais Samia anafanya mema kwa manufaa ya nchi.🙏🙏🙏
 
Nakubaliana na Riz1 kwa sababu Mwendazake aliishia kuanzisha miradi na ikamshinda yote..

Haiingii akilini kadaraja kadogo kama Wami kanajengwa Kwa awamu nzima ya Mwendazake hakaishia ila chini ya miaka 2 Rais Samia kafuta..

Na ikumbukwe Kwa mara ya kwanza Mbarawa ameenda kukagua daraja likikuwa 50% miaka 3 lakini ndani ya mwaka na nusu limekamilika..

Iko hivyo kwenye miradi yote,sasa Kazi ya Mwendazake ilikuwa ni nini ikiwa hata Stand ya Magufuli aliyozindua ilikuwa haijakamilika?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221030-083221.png
    52.2 KB · Views: 1
Naona upo kwenye harakati zako za kutafuta hela ya kula😂.
 
Hivi viherehere front sijui vitaisha lini?
 
Sukuma gang wataporomosha matusi hatari
 
Bora hata ungemsifia Magufuli, walau ningekuelewa. Maana hilo daraja lilishakuwepo kwenye mpango wa ujenzi kitambo tu! Changamoto ilikuwa ni mtu wa kuanzisha ujenzi wake.

Huyo mama yako atakumbukwa kwa kuanzisha tozo za kukurupuka tu na Madelu wake.
Dikteta ni wakulaniwa sio kusifiwa
 
Bora hata ungemsifia Magufuli, walau ningekuelewa. Maana hilo daraja lilishakuwepo kwenye mpango wa ujenzi kitambo tu! Changamoto ilikuwa ni mtu wa kuanzisha ujenzi wake.

Huyo mama yako atakumbukwa kwa kuanzisha tozo za kukurupuka tu na Madelu wake.
Huyu Mtoto wa JK anachekesha sana....ni very average...Pole kwake.
Kwa akili yake anahisi anaweza kupambana na JPM?...aisee hiki ni kituko...
 
Inafikirisha...
JPM alizindua miradi mingi ya JaKaya...wapambe wakampa sifa.

Leo hii wapambe wanampinga Ridhiwani kumpatia sifa Samia kwa kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm
 
RIP President Dr. John Joseph Pombe Magufuli, Your legacy will live on. Watu wanaokota point za mezani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…