jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Oct 30, 2022 #81 Kadhi Mkuu 1 said: Kumbe wajinga wengi sana Tanzania hii. Click to expand... Na bila Wajinga Dunia haizunguki!!
Kadhi Mkuu 1 said: Kumbe wajinga wengi sana Tanzania hii. Click to expand... Na bila Wajinga Dunia haizunguki!!
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Oct 30, 2022 #82 darcity said: Inafikirisha... JPM alizindua miradi mingi ya JaKaya...wapambe wakampa sifa. Leo hii wapambe wanampinga Ridhiwani kumpatia sifa Samia kwa kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema kua Rizi Moko ni mpango mkakati!!
darcity said: Inafikirisha... JPM alizindua miradi mingi ya JaKaya...wapambe wakampa sifa. Leo hii wapambe wanampinga Ridhiwani kumpatia sifa Samia kwa kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema kua Rizi Moko ni mpango mkakati!!
totlo masire JF-Expert Member Joined Nov 7, 2021 Posts 868 Reaction score 1,398 Oct 30, 2022 #83 Kadhi Mkuu 1 said: Kumbe wajinga wengi sana Tanzania hii. Click to expand... Na hawawezi kusuisha mkuu! Na unakuta mtu ana msifia mama wakati uwakika wa kula yake bado ni tabuu
Kadhi Mkuu 1 said: Kumbe wajinga wengi sana Tanzania hii. Click to expand... Na hawawezi kusuisha mkuu! Na unakuta mtu ana msifia mama wakati uwakika wa kula yake bado ni tabuu
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,500 Oct 30, 2022 #84 kawombe said: Safi sana mama mhe rais samia. Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa Click to expand... umecheleweshwa na nani
kawombe said: Safi sana mama mhe rais samia. Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa Click to expand... umecheleweshwa na nani
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,383 Reaction score 9,337 Oct 30, 2022 #85 Mrao keryo said: Kweli kabisa wa kukumbukwa hapa ni Magufuli.R.I.P Click to expand... Daraja liitwe Magufulii hahaaaaa kaskazini watu walimchukiaaa
Mrao keryo said: Kweli kabisa wa kukumbukwa hapa ni Magufuli.R.I.P Click to expand... Daraja liitwe Magufulii hahaaaaa kaskazini watu walimchukiaaa
M mugosha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 922 Reaction score 545 Oct 30, 2022 #86 samurai said: Kuna Mahala Katiba ya Tanzania imepiga marufuku mtoto wa aliyekuwa Rais asigombee Urais.? Nionyeshe nchi moja duniani ambapo Katiba imepiga marufuku mtoto wa Rais kugombea Urais. Click to expand... Nadhani ni haki ya kila Mtz mwenye sifa stahiki. Sasa inawezekana huyu Hana sifa zaidi ya kuwa mtoto wa ex President.
samurai said: Kuna Mahala Katiba ya Tanzania imepiga marufuku mtoto wa aliyekuwa Rais asigombee Urais.? Nionyeshe nchi moja duniani ambapo Katiba imepiga marufuku mtoto wa Rais kugombea Urais. Click to expand... Nadhani ni haki ya kila Mtz mwenye sifa stahiki. Sasa inawezekana huyu Hana sifa zaidi ya kuwa mtoto wa ex President.
M mugosha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 922 Reaction score 545 Oct 30, 2022 #87 Zanzibar-ASP said: Kwa hiyo utendaji wa rais unepimwa kwa ujenzi wa madaraja? Magufuli alikuwa rais wa ovyo mnoo, huu ujinga ulipandikizwa na Magufuli. Click to expand... Kipimo unachotumia kumpimia Magufuli ni Cha ovyo zaidi. Hata hayo madaraja nayo ni kipimo tosha. Na ndiyo maana hata anayeendelea kumalizia hayo madaraja naye tunamsifia pia. Na Kwani Ulitaka tumpime Kwa idadi ya safari za nje?
Zanzibar-ASP said: Kwa hiyo utendaji wa rais unepimwa kwa ujenzi wa madaraja? Magufuli alikuwa rais wa ovyo mnoo, huu ujinga ulipandikizwa na Magufuli. Click to expand... Kipimo unachotumia kumpimia Magufuli ni Cha ovyo zaidi. Hata hayo madaraja nayo ni kipimo tosha. Na ndiyo maana hata anayeendelea kumalizia hayo madaraja naye tunamsifia pia. Na Kwani Ulitaka tumpime Kwa idadi ya safari za nje?