TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

Maneno ya kukosa hekima na kukufuru thamani ya mwanadamu...

Juu ya minyukano yetu ya kisiasa tukifa hatwendi Lumumba wala mtaa wa ufipa.....
Nadhani kwa Mungu hakuna vyama vya siasa hatujaambiwa kwenye maandiko matakatifu
 
Nini tena?nini kimemsibu mpaka huyu kijana kafikwa na mauti

Ova
 
Pole kwa wafiwa.Kila nafsi itaonja mauti,uamini usiamini,uwe timamu usiwe timamu,uwe maskini uwe tajiri,njia ni moja.
 
R.i.P Memba/shemeji...[emoji26]
Leo sitaki kujali dhambi na itikadi zako, kwani huo ulikua ni utashi wa haja ya mwili na mapenzi yako kwa chama.
Naomba niishie hapa
Huyu sio class mate wako ?
 
Back
Top Bottom