cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ni mpangwaSio muhehe huyu possible Mbena au Mkinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mpangwaSio muhehe huyu possible Mbena au Mkinga
Ndiyo hivyo inaumiuza sana😭😭Muhusika mwenyewe anatia shaka ktk hali Fulani.
Ila huyu si alipotea kusikojulikana? Kumbe kakutwa amefariki.
RIP kijana mdogo.
Mmmhh!!!??!!Muhusika mwenyewe anatia shaka ktk hali Fulani.
Ila huyu si alipotea kusikojulikana? Kumbe kakutwa amefariki.
RIP kijana mdogo.
Hali ipi hiyo mkuuMuhusika mwenyewe anatia shaka ktk hali Fulani.
Ila huyu si alipotea kusikojulikana? Kumbe kakutwa amefariki.
RIP kijana mdogo.
Kiaje Mkuu? Umefuatilia kilichotokea?Okay, ndio maana mlikuwa mnavungavuna kuongea hapa jukwaani!
Nadhani kwa Mungu hakuna vyama vya siasa hatujaambiwa kwenye maandiko matakatifuManeno ya kukosa hekima na kukufuru thamani ya mwanadamu...
Juu ya minyukano yetu ya kisiasa tukifa hatwendi Lumumba wala mtaa wa ufipa.....
Ina mana R1 ndo kafanya jinaiJohn Wickzer Mulholland
Hiki ndicho kilitokea Kwa kijana mwenzetu,na hata Twitter Tangazo lake la kupotea lilipostiwa, inasemekana alikuwa amepigwa mpaka umauti ukamkuta..
Kulikoni mkuuOkay, ndio maana mlikuwa mnavungavuna kuongea hapa jukwaani!
Extremely dangerous moment, series is still growing up today. Who is next?Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu.
Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
View attachment 2732894View attachment 2732895
Huyu sio class mate wako ?R.i.P Memba/shemeji...[emoji26]
Leo sitaki kujali dhambi na itikadi zako, kwani huo ulikua ni utashi wa haja ya mwili na mapenzi yako kwa chama.
Naomba niishie hapa
Ndio Oscar mtweveNdio nani?
Chadema wamempiga na kumuua?Alikua liccm apumzike panapostahili
[emoji16]R.I.P CLASSMATE