Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

"jenga majumba hapo!! waachie weye tambaa na njia! ukifika huko tena anza moja toa pesaaa!"
[emoji115][emoji115]

Wewe una serious problem, unahitaji msaada ( I am serious).
 
"akikufukuza shukuru nenda tena kwingine anza moja"
[emoji115][emoji115]

Ni mzima wewe?(sorry). Upo sawa kimwili na kiakili?
 
"Sasa ke woote nawaagiza ukikuta dume zima linakula peke yake bandani/Hotelini! piga makofi hilo!! halijitambui"

[emoji115][emoji115]

mungu saidia huyu, ni ukatili kuona mwenzako anaelekea shimoni na kuchekelea. Nimekuonea huruma bure
 
Mie binafsi nimekuelewa san
 
U hopeless too!
 
"jenga majumba hapo!! waachie weye tambaa na njia! ukifika huko tena anza moja toa pesaaa!"
[emoji115][emoji115]

Wewe una serious problem, unahitaji msaada ( I am serious).
Ni ujinga kushindana na ke'' huna msaada wowote zaidi ya ushamba
 
Kuna wanamke ni pasua kichwa kwa kweli yaani ukimpenda anakuona fala sana na atakupiga matukio mpaka ufe
Yaani hawajali hawa wanadamu ni wakatili mno kuelekea wale wanaowapenda..

Huwa inasikitisha sana mwanaume kuweka nguvu ya kuonyesha upendo kwao utakufa na wala hawajali wala kushtuka.
 

Saikolojia ya mwanadamu anatafuta kile asichokua nacho na anapuuzia kile alichonacho, mwanamke akijua unampenda sana , unamlilia atakupuuza milele lakini wale wasioonesha kumlilia, kumtetemekea hao ndio atapambana awe nao hiyo ni saikolojia ndogo tu
 
"Sasa ke woote nawaagiza ukikuta dume zima linakula peke yake bandani/Hotelini! piga makofi hilo!! halijitambui"

[emoji115][emoji115]

mungu saidia huyu, ni ukatili kuona mwenzako anaelekea shimoni na kuchekelea. Nimekuonea huruma bure
Una asili ya uchoyo! umimi, ubinafsi, visununu! hustahili hata kuigwa unataka kula mwenyewe tuuu!! hutaki usharika! wkt umesoma umoja ni nguvu!!...... st kayumba mna matatizo ya ubongo.......

ulisomea wapi kwani?? jifunze kubeba mapungufu ya mwenzio!!! Dadako/mamako akifanyiwa hayo utafurahi?? lkn hii yooote sababu hukuwa na baba!! ungekulia kwa baba ako!

asinge kufundisha uchoyo!! eti ule wewe tuuu! ushibe ukalale mweee!! Taifa litajengwa na nani??
 
Ukiwa na mawazo hayo utawachukia na hata nyege nao utakosa.
 
[emoji38][emoji38]duuuuh yaani unachekesha na unasikitisha at the same time.
ndo ukweli mchoyo hutakaa na mtu! kamwe! unaona raha kula michips na kujaza rijikitambi bila mke! huenda pia unamatatizo huko chini inatumika! ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…