Ukiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
Wazungu ndio binadamu waliopewa funguo za mambo mazuri baada ya Waafrika kuonekana ni watu wabinafsi wenye roho mbaya na kila aina ya chuki.
Jiulize hivi Inakuaje kila Kitu chenye thamani kiko Afrika ikiwemo Mwafrika mwenyewe lakini hawahui kazi yake?
Madini ya Tanzanite wazungu wakiacha kuyanunua na dhahabu tutayatumia kama Gololi kucheza bao.
Hivi kweli kwa MTU mwenye akili timamu unaweza kumuua Lisu !
Wabunge wote pale bungeni hawana uwezo wa Lisu . Kidogo akina Kabudi lakini ni waoga na wabinafsi. Mwingine ni Bashe ambaye ni Msomali.
Watu wenye akili kama Zito MTU anapanga njama za kuwaua halafu mnawalaumu wazungu. Vitu vyenye thamani Afrika havijulikani kazi yake.
Lisu ni mtu wa aina ya akina Nyerere,Mandela, Kwame Nkruma n.k . ambaye tumebahatika kumpata Kwa karne Hii.
Lisu akiingia madarakani ataweza kuiunganisha Afrika kwa uwezo wake wa kujieleza na ataweza kuwaondoa kwenye mikataba yote ya kinyonyaji kwenye jumuuiya za kimataifa.
Kwanza anazijua sheria za zote. Wazungu wataomba poo kwa kile kichwa mana atajitokeza huko huko kwenye Mikutano ya UN na kubishana nao kama Nyerere. Aliyepo ni mkaksi tu bila kuwashawishi wengine kwa kuwa kidogo Ile Lugha ya mawasiliano inamsumbua . Anavyopenda sifa angeijua angejimwambafai kimataifa .
Lisu na Magu wote wanaweza kushinda uchaguzi lakini tofauti yao ni kuwa mmoja ni kiongozi na mwingine ni mtawala.
Dunia inahtaji viongozi sio watawala.
JPM ataweza akashinda Mitano tena lakini hali itakua mbaya zaidi mana amezidi kutoa ahadi nyingi tena na tena.
Yetu ni macho wao hawana shida mana wamejimbikizia Mali hivyo hawana shida na pesa wala Mali Ila wanyonge wanahitaji fedha ili waendeshe maisha yao.