Kenya walikufa watu 1,500+Hivi Kenya walikufa elfu nga hadi ICC wakafunua kesi? Kama hujui bora unyamaze kuliko kupotosha watu.
Mkuu hao ni mataahira!Mkuu,
Wewe ni MTanzania kweli?
Impostor ni nani katika nchi yetu na uthibitisho unao hadi unukuu mstari wenye neno hilo?
Maana fupi ya 'impostor' hii hapa:
"..An impostor is a person who pretends to be somebody else, often through means of disguise. Their objective is usually to try to gain financial or social advantages through social engineering, but also often for purposes of espionage or law enforcement...."
Sasa, baada ya kipande hicho kwa kuwa hapa ndio jukwaa la kuweka kila kitu bayana, tafadhali tusaidie kumtaja huyo mtu anayeitwa impostor na uwe tayari kutoa ushahidi kama ulivyomnukuu huyo Robert Amsterdam mwenye kusambaza kitabu cha 'Empire of Deceit'
Peruse the link: Who is Robert Amsterdam?
Hata mimi nimeshtuka sana. Anatetea nchi isichafuliwe nje, hahahaaaa!Ndiyo maana Musiba kabadili gia angani
Omba Mungu akusamehe, hujui esemalo. Unamwombeaje mwenzio kifo, ulimuumba wewe?Ni kweli in two years ubeligiji wataturudishia mzigo wetu tuuzike hapa hapa nyumbani. yale maji maji ukimwagiwa sana ni lazima ufe tu aisee.
Eti,na wewe shangaa mama D, wanashikwa akili na kweli zinashikika.Hivi kumbe wakati ule Maria alipeleka nyaraka ICC kesi ilikua bado kufunguliwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu
10,000Nilikuwa nafanya utani na hiki kitu ngoja nikaweke kura yangu.www.jamiiforums.com
Huu ni ukweli mchungu sana... Ila watakutukana tu BAVICHAAmsterdam kachangia sana kufifisha ushindi wa Lissu.
Jidanganye hivyohivyo,ukidhani damu ya mwanaadam huwa inatolewa law dhulma,mmeua watu wasio na hatia mmeshikilia watu bila kuwapeleka Mahakamani mkiogopa mkiwapeleka hawana hatia, Familia zao zinamlilia Mungu wa Haki mwenye kusikiliza viumbe wake sio Mungu wenu huyo wa dhulmaHiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Hakuna kitachotokea.Jidanganye hivyohivyo,ukidhani damu ya mwanaadam huwa inatolewa law dhulma,mmeua watu wasio na hatia mmeshikilia watu bila kuwapeleka mahakamani mkiogopa mkiwapeleka hawana hatia,familia zao zinamlilia mungu wa haki mwenye kusikiliza viumbe wake sio mungu wenu huyo wa dhulma
Dah... kwani Magufuli anaenda wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na Magufuli haitofika popote na ubabe wake maana Tanzania na dunia kwa ujumla sio mali CCM
Pumbafu sana wale ndio maana sijawahi toa sadaka, ingekua watu wanajitambua kama mimi hakuna kutoa sadaka ili akili iwakae sawa, swine.Viongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.
Kama huna data,usiongee usichokijua wewe poyoyo,sababu ya maridhiano na katiba ya haki Kenya ni ICC kwa taarifa yako hakuna nchi yenye katiba nzuri Afrika kama Kenya kwa sasaKenya walikufa watu 1,500+
Na waliosababisha ni Kenyata na Odinga, lakini pamoja na hayo sasa hivi wanadunda Ikulu pamoja na kufika ICC
Nawewe jifariji kwa kwenda Lumumba ukaampigie makofi polepole na BashiruHakuna kitachotokea.
Mnajifariji tu na hizo habari za ICC.
Unachapa kazi gani? Ama na wewe ni miongoni mwa wabunge?Huyu jamaa kumbe yupo! Mwambieni sisi tunachapa kazi, uchaguzi kwetu ushaisha kitambo
Ile kesi alopeleka Maria haihusiani na hii?Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Sitatoa sadaka wala mchango wowote kwa kanisa kuanzia sasaWashenzi kabisa hao,eti wanafanya kongamano kuwa Uchaguzi umemalizika kwa amani! Kwa amani wakati watu wamekufa na wengine kufanywa vilema,shwain kabisa!
Go baba Amsterdam go.. tuko hoi bin taaban wakoloni weusi wametushikaRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Hilo swali ungeuliza huyo anayeamrisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuua watu hovyo huko Zanzibar na Pemba tena kodi za waliowaua ndio zimenunua mabomu ,bunduki na risasi zitumikazo kuwauaKwa hiyo wewe hutakufa?