Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,176
- 2,479
I remain existing in the "wait and see" atmosphere.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Katiba ya Afrika ya Kusini inazidi hata katiba ya Marekani.Kama huna data,usiongee usichokijua wewe poyoyo,sababu ya maridhiano na katiba ya haki Kenya ni ICC kwa taarifa yako hakuna nchi yenye katiba nzuri Afrika kama Kenya kwa sasa
Ni kwamba Magufuli hakujua kuwa anaweza akshtakiwa nje ya nchi kwa mabaya anayoweza kuyafanya hapa nchini alijua kila kitu kipo mikononi mwake hivyo ana uwezo wa kuzuia au kuruhusu kumbe kuna mahakama za nje ambazo zinaweza kumuhoji na kumhukumu hakulijua hili sasa anaanza kuamini kuanzia leo kuwa uongozi ni unyenyekevu, kuto haki kwa kila mtu na upendoRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Al-Bahir in making? It started as a spark; then full frame.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Kutafuta attentionEti,na wewe shangaa mama D,wanashikwa akili na kweli zinashikika.
Baniani mbaya ila kiatu chake dawa...Kuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea Wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!
What you think you see while standing there are others who sees them while seated...ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Imagine?! Tuna tatizo kubwa sanaBwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.
Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda ugali wao. Ni lazima kidhibitiwe.
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Maisha ni kama hadithi tu, basi ewe ndugu yangu kuwa hadithi njema kwa hao watakaosimuliwa.We Jamaa utakua mchawi, mambo gani haya ya kuombeana kufa,
Sema hata hivyo hakuna atakayebaki hapa duniani wote tunapita tuu , ni suala LA muda , muda wako ukifika hakuna namna utaondoka tuu
Wewe unafikiri ofisi gani ya mwanasheria Tanzania ingeweza kutetea CHADEMA au Lissu? Hivi huoni au ndio unajifanya huoni? Fatma Karume kafutiwa practice sababu ya kuongea ukweli. Where is Kibatala aliyekuwa anatetea kina CHADEMA?From CHADEMA ya kutafuta vijana chuo kuwajenga kuwa Viongozi wa badae to CHADEMA wanategemea kushinda kwajili ya Mwanasheria mwenye ofisi Washington na London... Kwaiyo sasa hivi kamati kuu ya CHADEMA itakua inaongea nini Bob Amsterdam anafanya kuhusu mipango yao. Shame!
Wanakula Hadi jasho lenyewe.Wakoloni weupe wanahakikisha umeshiba kabla ya kukutoa jasho lakini weusi ana kutoa jasho ukiwa na njaa.
Absolutely.What you think you see while standing there are others who sees them while seated...
Aende kumsaidia Trump, huku Tanzania atapotea kama Korona nadhani haijui Tanzania vizuri. Jina la Amsterdam inabidi liingizwe kwenye maombi kanisani na misikitini aanze kusomea AlbadiliRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Kama mzungu asingekuepo waafrica tungekua tunachinjana kama kuku!!Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
6 ndio zaidi ccNamba 7 na 8 zinaihusu sana yanayoendelea Tanzania ya Magufuli. Kaleta kitu asichoelewa huyo gamba. Lugha ni tatizo kwa wabongo.