Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relax bro hiyo ipo kwa wote
Niliezeka bati upande umepauka na upande mwingine zipo vile vile,nyumba ipo kama ina aina 2 za bati,ila nilinunua sehemu moja,duka moja bei moja...ila ukiangalia kwa jirani bati zipo poa tu
Ilimradi sinyeshewi haina shida
Sasa shida nini mzee, vingine hivyo nyongeza tu mzee.Hapana blaza
Mkuu kuna Rangi inaitwa PVA roof, hii ni kwa ajiri ya kupaka kwenye bati au chuma, huwa mfano wa inter(inta) chukua ya kiwanda cha plascon, paka vizuri sana harafu njoo unipe mrejesho
Bei gani kwa mita ulinunua,miaka 5 iliyopita nilinunua mita moja elf 15 mita 3 kwa elf 45,wakati yale ya upande wa pili waliuza mita sh elf 7.Ni kweli nimejifunza kitu
Ubabaishaji ni mwingi sana.ukienda na fundi kununua mabati ndio kabisa kuna ujinga mm nilinunua bati bomba ila zimepauka hadi naona aibu.fundi mmoja alipanda kurekebisha sehemu akaniuuliza hizi bati mbona umenunua used ? Nikamwambia nimechukua kabisa keko pale ndani bati bomba.kaniambia kuna uhuni umefanyika hizi bati zipo tofauti alafu aina moja...washenzi sana hawa watu.
Walikuchukulia Rejected ziiile.... Kule TBC ndan ndani..... Nilikua natafutaga kiboko bati, nikOneshwa sample og alafu nikalipia wakawa wanapakia famba....
Nina historia pale, nilileta utata pesa ikarudi, nikaenda kuchukua Tag tukabeba mazaga ya ofisi yao wakaja kuyagomboa tukagawana pesa, nikasepa na misumari...
Mapimbi saana
Bati Za Rangi Ni Upigaji Mpya
Bora Kununua Za Kawaida Upake Rangi