Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Ubaguzi wa rangi unatanabaisha mtu anayebagua ana inferiority complex.

Ukiona unambagua binadamu mwenzako kwa rangi yake basi utakuwa umefikia kiwango cha juu kabisa cha ujinga na mara nyingi hali hiyo hutokea pale unapohisi kuzidiwa na kujiona mnyonge mbele ya huyo unayembagua kwa rangi yake.
Hovyo kabisa !
 
Ameyakanga huko club house wanamchambua kama karanga
 
Dr. Slaa amepiga kwenye kidonda maumivu makalio yamefika kooni hadi kufikia Rostam kuanza kutapika.

Dr. Slaa huwa hakopeshi, anatwanga kweli kweli. Ngoja usubiri baadaye Dr. Slaa (a.k.a Dr. Kizabizabina) atakuja kujibu hizi tuhuma.
 
Kwann rostam amshambulie dr slaa anayetetea bandari kuuzwa?
JE amegusa maslahi binafsii ya wakubwa?

Doctor slaa endelea kuvuta hapo hapo kwenye korodani..
 
Kwa maana hio mwanachama mkongwe na tajiri Bwana Rostam anauthibitishia umma kwamba JPM mwenyekiti wake wa chama na Raisi alikuwa Mhongaji na mtoa rushwa?

Alikuwa wapi kuyasema yote haya?Mbona yeye Slaa kaona jambo kalisema hapohapo yeye kwanini alikaa kimya?
 
Endelea kujidang'anya ni mtanzania mwenzako. Just bcz amezaliwa hapa.
Tafuteni na nyie nguvu ya kiuchumi
Muwe na pesa ili mshikilie rasilimali
Za nchi
Au nyie biashara zenu mnaishia kufungua bar tu na maduka nguo,vipodozi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…