Badala na wao wapambane wawe vizuri kiuchumi sisi tunaishia kulialia tu kila sikuUbaguzi wa rangi unatanabaisha mtu anayebagua ana inferiority complex.
Ukiona unambagua binadamu mwenzako kwa rangi yake basi utakuwa umefikia kiwango cha juu kabisa cha ujinga na mara nyingi hali hiyo hutokea pale unapohisi kuzidiwa na kujiona mnyonge mbele ya huyo unayembagua kwa rangi yake.
Hovyo kabisa !
Hakuna cha link hapa kama haupo club house ,upo face book atajijua but kuna mjadala mkaliTupe link
Basi kama ni hivyo hao waarabu na wahindi watakuwa wamefika kiwango cha juu cha ujinga.Ubaguzi wa rangi unatanabaisha mtu anayebagua ana inferiority complex.
Ukiona unambagua binadamu mwenzako kwa rangi yake basi utakuwa umefikia kiwango cha juu kabisa cha ujinga na mara nyingi hali hiyo hutokea pale unapohisi kuzidiwa na kujiona mnyonge mbele ya huyo unayembagua kwa rangi yake.
Hovyo kabisa !
ConvaxJpm aliua mihimili yote inao unda state lawama zote ziende kwa mwendazake, bunge mahakama na baraza la mawaziri aliziingia nakuweka watu wake
Safi sana Rostam Azizi.Lisemwalo lipo na kama halipo basi lipo njiani.
Wana cdm tuliongea sana mara baada ya kusalitiwa na Dr Slaa kwenye kipindi kigumu cha uchaguzi.
Wengi tulikuwa na mawazo ya kuwa Slaa amehongwa ili asaliti ukawa usipate ushindi wa kutosha.
Hatimaye leo hii habari hii imerudiwa tena na mwana siasa mwenzake na tajiri mkubwa hapa nchini.
Ukweli utabakia kuwa ukweli kuwa Dr Slaaa alisaliti upnzani. View attachment 2669430
Mbona povu la omo tena?Hakuna cha link hapa kama haupo club house ,upo face book atajijua but kuna mjadala mkali
Zipo huko spana club house sio za nchi hii shida na liveHawa ndiyo madalali wenyewe hawa.
Nchi sasa hivi mikataba inaingiwa kukiwa na mtu wa kati (dalali) kama hivyo anatetea ili asipishane na 10% yake.
JPM alikuwa ni Raisi mzuri kwa mazingira ya kitanzania tuwaambie mara ngapi mbongo zenu zielewe!?JPM alikuwa worst president ever sema wabongo no wepesi kusahau
Ambaye alimnunua Dr.Slaa?JPM alikuwa ni Raisi mzuri kwa mazingira ya kitanzania tuwaambie mara ngapi mbongo zenu zielewe!?
Rost yupo Sahihi kbs ✔️✔️✔️Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.
Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi.
Rostam anasema mashtaka ya mkataba wa kimataifa hayawezi kupelekwa kwenye mahakama zetu kwa sababu Mtu wa serikalini anaweza tu kupiga simu kwa hakimu au Jaji na kumpa maelekezo ya hukumu. Mahakama yetu ina majibu wa kujibu tuhuma hizo.
--
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi
Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
Unamsingizia JPM, hii tabia ya kuielekeza mahakama haijaanza leo bali JPM aliendeleza tuJpm aliua mihimili yote inao unda state lawama zote ziende kwa mwendazake, bunge mahakama na baraza la mawaziri aliziingia nakuweka watu wake
sasa ni uongo? Wakati ni kazi ya mwendazake hii!Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.
Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi.
Rostam anasema mashtaka ya mkataba wa kimataifa hayawezi kupelekwa kwenye mahakama zetu kwa sababu Mtu wa serikalini anaweza tu kupiga simu kwa hakimu au Jaji na kumpa maelekezo ya hukumu. Mahakama yetu ina majibu wa kujibu tuhuma hizo.
--
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi
Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
Billion 2.5 , hata mimi ningeasiLisemwalo lipo na kama halipo basi lipo njiani.
Wana cdm tuliongea sana mara baada ya kusalitiwa na Dr Slaa kwenye kipindi kigumu cha uchaguzi.
Wengi tulikuwa na mawazo ya kuwa Slaa amehongwa ili asaliti ukawa usipate ushindi wa kutosha.
Hatimaye leo hii habari hii imerudiwa tena na mwana siasa mwenzake na tajiri mkubwa hapa nchini.
Ukweli utabakia kuwa ukweli kuwa Dr Slaaa alisaliti upnzani. View attachment 2669430
Watajuana wenyewe bana