Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Hatuna mahakama tuna matawi ya CCM tupu
 
Mh 😳😳😳!! Kwan mfia CCM johnthebaptist na genge lake c walisema akili kubwa Slaa aliondoka CDM sababu walimleta fisadi CDM?
 
Point
 
Acha ubaguzi Rostam Azizi ni Mtanzania kama wewe tu kamsema vizuri sana Slaa,Slaa ni mwanasiasa malaya malaya.
 
Kila jambo na wakati wake, huu ndio muda wake wa kusema.
 
Fisadi namba moja ni Dr Slaa msaliti
 
Jpm aliua mihimili yote inao unda state lawama zote ziende kwa mwendazake, bunge mahakama na baraza la mawaziri aliziingia nakuweka watu wake
Unakuwa kama huna akili!? Au huna! Walio hai wanataniwa wajifikirie na kutatua matatizo yao wenyewe.
 
Huyu hatalala mpaka Mwarabu akabidhiwe bandari. Sijui sasa hapo anamaslahi gani! Hapo atakuwa anahangaika kila siku hadi awe mwekundu.
 
Kaitisha Press kumuongelea Dr Slaa na Kukisaliti chama Chake cha CHADEMA ?!!

Hao waliokuwepo wakati haya yanafanyika wao hawahusiki au baadhi ndio wanaupigwa mwingi ?

Hizi lawama za Mafungu nadhani zinatutoa kwenye Reli (Na Usafi wa Dr Slaa sidhani sisi kama Taifa tutakuwa tunatumia rasilimali muda vema kuliongelea) Tunachoweza kukiongelea ni Ukweli au uongo wa Tuhuma za Slaa.

Kuhusu uchafu / Usafi / Uwajibikaji wa Serikali, Mahamakama na Chama Tawala, sidhani kama ni leo au jana ambapo utendaji wake ni top notch...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…