Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi


Eti nini? Wanaobaguliwa ndiyo wana low IQ na inferiority complex kama wewe, angalia Wazungu wote Wabaguzi wanajipendelea wao kwanza kabla ya race nyingine, Wajapani wote wabaguzi dhidi ya wengine wasio kama wao, Wachina Wabaguzi na wanajipendelea dhidi ya wageni, Wakorea pia ni Wabaguzi na wanajipendelea wao kwanza, haya niambie nani mwenye low IQ na infreriority complex?

Wewe unabaguliwa hata ndani ya nchi uliozaliwa halafu bado uko hapa kutetea watesi wako, kama siyo inferiority complex ulioingelea ni nini au unafikiri they care about you?
 

Kwa hili nipo na Rostam.

Amesema kweli ya haki. Mzee wa mihogo ni sahihi.
Kuhusu mahakama zetu kila mtu anajua.
 


sasa ni tuhuma gani? Huu ni ukweli tu
 
Hamna watu hatujielewi kama watu weusi, upo sahahi, watakuja mazwazwa watakwambia na yeye ni Mtanzania analipenda sana hili taifa. Hawa jamaa wamepora sana mali za taifa hili. Infact utajiri walio nao umetokana na wizi waliofanya toka enzi hizo.

Siyo hivyo tu hao akina rostamu hata kwanza wameshahama na TZ yenyewe na familia zao, Manji yuko wapi? Wanakuja kuchuma na kuondoka.

Rostamu kawekeza Kenya > 200 million dollars kama ni kweli anaipenda Tanzania kwa nini asiiweke hiyo hela hapa TZ ambapo hata ndipo alipoipatia?
 
Ulitaka Magufuri amfilisi ili akajenge Chato kuwa ikulu?
 
Ulitaka Magufuri amfilisi ili akajenge Chato kuwa ikulu?

Ameweka 200 million USD Kenya wakati wa Samia wala Magufuli hakuwepo na hiyo fedha hata siajabu wameichukuwa hapa hapa Tanzania, sasa kwa nini akawekeze kwingine hela yote hiyo kama ni kweli anawapenda na kuwajali Watanzania kama mnavyojaribu kujiaminisha?
 
Soko huria tutafute pesa mpendwa bila kujali tuko wapi.
 
Kwa hiyo hapa Rostam anazungumza kwa kumwakilisha nani ?
 
Sasa movie ndo imeanza
 
Amini kuwa Duniani hamnaga haki hata siku moja ni ujanja ujanja tu
 
Mi nadhani JAL 2 and 3 next ni SAHIHI kuexcute mission!!

SASA naelewa na his press zao ndio mtego wao!!

Mungu IBARIKI Tanzania nchi yetu niipendayo SANA!
 
wanachekana. ukiwaweka pamoja, dr slaa ana afadhali. ila huyo jamaa hana moral authority ya kumsema mtu yeyote yule hapa Tanzania, ndio maana mengi alimtaja kama fisadi papa. na hadi leo ni fisadi papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…