Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Patel sir alisha dead kabaki mwanae Veer domo zege!Hadi akina H.S.Singh na Patel watajitokeza kutoa maoni kipindi hiki!
Wapi Manji? Azim Dewji tayari tumemsikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patel sir alisha dead kabaki mwanae Veer domo zege!Hadi akina H.S.Singh na Patel watajitokeza kutoa maoni kipindi hiki!
Wapi Manji? Azim Dewji tayari tumemsikia.
"...nchi imekubaliana..."? Lini ilikubaliana?, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Huyo ni chawa kilaza, anafikiri watu wote hapa wana akili za kushikiwa kama yeye.Unaelewa maana ya ubunifu?.Kuna nchi zina sera ya boma ya afya toka miaka ya hatujapata uhuru.sasa miaka hiyo mkapa alikua rais wawapi ili rostam awe mbunifu?
Miaka 150+ iliyopita Tabora hakukuwa na Tembo??Yeye babu zake wapi tabora tangu miaka 150+ iliyopita,wewe mrundi unayejifanya muha umekua mtanzania kwa muda gani!?
Bunge lilipoteza mwelekeo kwa kujadili kauli ya Mbowe ambayo nimeirudia mara nyingi sana sikuona tatizo..kupoteza muelekeo wa mjadala ni uamuzi wa wanaojadiliana.
..na mfano mmoja ni yeye Rostam anapojaribu kumlisha maneno Mbowe kuwa amezungumzia Utanganyika vs Uzanzibari tu.
..yeye Rostam mbona hakuzungumzia mazuri na mapungufu ya makubaliano ya Dubai / DP na Tanganyika?
Si ulisema "...ubunifu..." au hujui maana ya hilo neno?Umeishia darasa la ngapi? Nadhani una changamoto kubwa sana ya uelewa.
Huyo jamaa unayejibishana naye ni kati ya watu 'bogus' kabisa. Ni kama 'robot' tu, hajui kutumia akili sawasawa.Wewe ni mjinga.nimekuuliza unajua maana ua ubunifu.au ukishakua chawa ndo na akili zinakutoka.Kwahiyo tanzania ndo nchi ya kwanza kua na bima ya afya duniani?.jinga wewe.
Mpanga Deal la BandariMwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Jamani ninaomba kuuliza walipo
1. Mzee warioba
2. Mzee butiku
3. Pole pole
4. Kabudi
5. Bashiru
6. Job Ndugai
7. Mzee Kinana
8. Chogolo
9. Mzee msuya
10. Mzee Sumaye
Mbona wamepiga kimya Huku Bandari zote Za Tanganyika zinaondoka?
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Wapo mpaka Leo,wanaitwa mapuliMiaka 150+ iliyopita Tabora hakukuwa na Tembo??
Sana sana mtu wa kweli hapo ni jenerali, wengine wote ni wajasilia matumbo yao. Kwani Rostam ni Mtanzania?, hawa wana pasport za kwao,..canada, India, Uingereza, Australia etc etc hapa ni kuchuma tuMwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
😀😀😀😀😀😀Na ile kaptura yake alovaa siku ya yanga ya "Mjomba Kaja" tokea ulaya.
Grand master Ayatollah Al Aziz, Tanzania's King maker. Hivi ameshaukana uraia wa IranMwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.