RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

RRRR Slogans zimekuwa falsafa ghafla
 
What Are The 4Rs? The 4Rs, Refuse, Reduce, Reuse, and Recycle, are a simple way of reminding us how we can make a difference.
Hodri sana wewe, wenzako wanozifahamu maana yake wapo hapa sasa:

 
Endelea kujifariji. Madrasa mngetumia kiingereza km lugha hata Quran ingeandikwa kwa kiingereza hata kuswali mngetumia kiingereza..
Bila kujua kiarabu hutoboi. Hata Allah mwenyewe hakusikii mpk utumie kiarabu ndiyo anakusikia
 

haka kabibi kanazeeka vibaya
 
Mbona sijaona nimeona wanakukandia tu?
 
Sawa ww usioishi kimazoea
Kabisa, binaadam unatakiwa uwe "dynamic", toka unazaliwa una Reforms na Rebuilding, na kwenye maisha ni muhimu uwe nazo, hizo huzipati kama hauna Reconciliation na Resilience.

Hata maji yakituwama tu kwenye dimbwi yanachacha.
 
hii ni baadhi ya mapatano ya allah na binadamu [emoji867][emoji867][emoji867]
 
Kwanza awajibike. Ni lazima Kuwajibika. Na hiyo ina maana aache vijembe na aseme anachokisema na kumaanisha anachokisema.... ni Ajisemee mwenyewe.

Responsibilty

Pili, anapswa kuwa na majuto. Lazima atambue makosa yake, analega lega? Je, kafungulia masikio Oligarchs na Mabeberu badala ya Wananchi wake?

Remorse

Tatu ni Lazima atoe azimio la kusema 'Kamwe' hatorudia kuuza Ardhi, kama kule Ngorongoro au kuangamiza kabila la Wamasai na Watanganyika wengine au Kugawia Bandari kana tende au Kutuuza kwa Waarabu

Resolve

Na nne, ni kuomba radhi
She must repair her wrong doing

it is her only Repentance.

She takes Responibility,and show Remorse for her wrongdoing, and Resolve never to repeat and Repair the Country. We are divided AF.

...her four R's are therefore...
Responsibility
Remorse
Resolve
Repair.

Kitaeleweka
 
Wewe kalia hivyo hivyo, wenzako wanalamba eka kumi kumi na visima vya maji, na mafunzo ya kilimo. BBT.
Ukitaka kuwa masikini nchi hii, nenda kalime hicho kilimo cha heka kumi kumi uone kama utatoboa. Viongozi wanawapa watoto wao kazi kwenye mashirika ya umma na serikali, na hao uvccm ndio wanawadanganyia na mashamba ya kwenda kushinda huko porini.

Nitajie mtoto wa kiongozi anayelima hizo heka 10 kumi za Bashe. Lakini naweza kukutajia msururu wa watoto wa viongozi walioko kwenye taasisi za umma.
 
Ni kweli jiwe kawap bwawa na sgr waarabu ingwa waarabu nao hawna ma expert wanawatumia Sana wazungu kukamilisha Mambo yao
Hakuna mtu asiyemtumikia Mwarabu duniani. Kumbuka hilo.


Kama unabisha nenda nchi za Kiarabu ukajionee. They are too much way ahead of anybody's way forward thinking. Wana upeo wa hali ya juu linapokuja suala la maendeleo.
 
Ungekuta wew siyo kizee alfu upo kwa wagalatia walai ningekuoa mnk una akili snaa. Na Bado wasilmu wenzio hawakutumii ipazwavyo
Silimu nikupe toto la Kiislam, hakuna Muislam aliyekuwa poyoyo. Believe you me.
 


Every time I read an article from you about Madam President Samia, I get new education of how Low a human is ready to go for their own personal & selfish reasons + intentions.

Many of us remember the likes of you in the years between 2005-2014.

I sincerely wish Madam President could see through people like you and your agendas, as you do too much damage in the name of spreading the good deeds.

The misinformation and crap propagandas that you generate here on a daily basis, they simply sell her cheap.

Sometimes it seems that the louder someone claims sainthood, the bigger the Horns they are hiding.

- Steve Maraboli
 
Boss andika kiswahili tu, naona unakipenda kiingereza, lakini kiingereza hakikutaki kabisa.
 
Umeielewa falsafa ya 4 Rs za mama Samia?

Tell us a little about the first R, Reconciliation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…