Kwa kawaida watu huwa hatupendi vikwazo na matatizo. Lakini vikwazo na matatizo husaidia kuleta ubunifu wa kupambana ili kusonga mbele!! Ndivyo ilivyotokea kwa Urusi.
Baada ya kuwekewa vikwazo vya kuzuiwa kufanya miamala kwa kutumia dola na Euro, nchi za magharibi zilijua hilo ndio litakuwa anguko la Urusi kiuchumi. Maana walitaka waendelee kununua bidhaa Urusi kwa kutumia dola na Euro tena kwenye akaunti za urusi ambazo zimeshafungiwa! (ambazo hana jinsi ya kuzitumia).
Kati ya maamuzi ambayo urusi iliyafanya ambayo haikuwahi kufikiria ni:
1. Kupiga marufuku wanunuzi wa gesi kutoka nchi korofi kununua gesi kwa ruble.
2. kuanza kushawishi nchi zingine zikubali kufanya nayo biashara kwa pesa zao za ndani zikiwemo nchi za china na India. Nchi hizo ziliitikia vizuri na biasharab hiyo ikaanza.
Mpaka sasa biashara kati ya Urusi na China kwa kutumia ruble na yuan imeongezeka sana kwa asilimia 1000%. Nchi nyingi zikiiga mfano huu, hilo ndilo litakuwa anguko la jumla la dola ya marekani!
Ruble-yuan trade soars over 1,000%
Russia and China are ditching the US dollar in favor of national currencies
Russia and China are continuing to eliminate the US dollar from mutual trade as monthly volumes on the ruble-yuan pair have reportedly soared 1,067% to nearly $4 billion over the past three months.
According to Bloomberg calculations, some 25.91 billion yuan, or $3.9 billion, have been exchanged for rubles on the Moscow spot market so far in May, marking a twelvefold surge versus the volumes recorded in February, when Russia launched its military operation in Ukraine. The spike coincides with a rally in the ruble to a five-year high against the yuan and the US dollar.
Nina Uhakika Marekani itaishia kujilaumu sana!!