Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

Hata US na Ulaya wanawekeza AI, pia China ina watu wengi sana kuwekeza huko inaweza ikawa tatizo lingine la ajira, labda wapunguze population yao.
Mkuu china inawekeza kwenye robots na AI hii itafanya production cost iwe chini..... Bila kujali kuongezeka kwa GDP
 
China akihamia kununua mafuta ya bei rahisi Russia ina maana atapunguza manunuzi Uarabuni na Africa, hiyo ni hasara kwa Africa, hiyo inamaanisha Uarabuni na Africa inabidi wauze Ulaya.

China anahitaji dollar zaidi kuliko ruble kwa sababu biashara yake kubwa iko US, Ulaya, Japan, Australia na nchi nyingine nyingi kabla ya Russia. Fahamu Russia hayuko hata top ten ya washirika wakubwa wa biashara wa China. Hiyo inamaanisha rubles anazohitaji China ni za kununua mafuta na gesi tu ya Russia, hakuna kitu kingine kikubwa anaweza kupata kutoka huko. Hiyo inamaanisha China atahitaji Russia anunue kwa Dollar au Yuan.
Ana nunua bidhaa kwa Yuan ata mafuta na gesi ya Russia china ananunua kwa Yuan ni Kama mkataba china waliosain na Saudi Arabia wakuuziana mafuta huku hela inayotumika ni yuan
 
Pamoja na udikteta wote huo China bado iko kwenye joto kali la Covid mpaka sasa na baadhi ya miji wameanza lockdowns tena wakati wenzao wa magharibi wanaendelea na maisha kama kawaida.

Usisahau kwamba China huwa ina tabia ya kuficha taarifa, kuna uwezekano mkubwa ndilo taifa lililoathirika na Covid kuliko mengi ya Ulaya au Marekani.
Ni udikteta au ni kudhibiti maambukizi kutokana na high population in Shanghai?
 
Majimbo ya California na Texas yanazalisha bidhaa za thamani kubwa kuliko Russia nzima kwa mwaka. Kwa mwaka California inazalisha bidhaa za USD trillion 3.4, Texas 1.8T, Russia 1.4T.
How California,Texas iwe greater than Russia in economy?[emoji848]
 
Majimbo ya California na Texas yanazalisha bidhaa za thamani kubwa kuliko Russia nzima kwa mwaka. Kwa mwaka California inazalisha bidhaa za USD trillion 3.4, Texas 1.8T, Russia 1.4T.
Nadhani huo ni uchumi wa makaratasi🤔
 
Ndo hawawezi kumpiga ingekuwa ka nchi ka kisenge wangesha kapiga
Kama ulimsikiliza vizuri juzi Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amesema Urusi anatumia chakula kama silaha kwenye vita hii kati yake na Ukraine. Maana yake ni nini? Ni hivi Ukraine na Urusi ndio wazalishaji wakubwa wa ngano (grain) duniani (30% ya ngano Duniani hutoka Urusi na Ukraine). Kwa kuiteka Bandari ya Mariupol Mrusi amezuia shehena za chakula kwenda kwenye nchi mbalimbali duniani ikiwemo ndani ya Ukraine na kwa watumiaji wakubwa ambao ni Bara la Ulaya. Hivyo, supply ya ngano kwa kupitia Bandari ya Mariupol kwenda ndani ya Ukraine na EU imefungwa. Kwa hiyo, watu katika EU wanapata shida ya kupata nafaka hiyo kwa matumizi yao mbalimbali. Ingekuwa nchi kama Libya imefanya hivyo Marekani na Washirika wake wangemchapa au kumshurutisha afungue bandari husika. Ila kwa Urusi amesema mkitaka nifungue Bandari ya Mariupol basi inawalazimu mniondolee kwanza vikwazo vya kiuchumi. Ngoma ipo hapo!
 
Ulitaka wawachekee wakati Shanghai iko high populated 27mil kitu ambacho itakuwa mbaya kwa china nzima tena Shanghai wazee wengi hawajawa vaccinated hiyo ni hatari kwa usalama wa raia
Anatamuia njia za kidikteta ili kudhibiti maambukizi.
 
Kuna factor mbalimbali inshort👇
Screenshot_20220521-100524.jpg

Screenshot_20220521-100622.jpg
 
Mkuu ukiondoa mafuta na gas nini anauza? Kampuni ngapi zimesitisha shughuli zake? Mchina ambaye amekuwa swaiba wake nae amesitisha shughuli zake nchini humo mkuu mzunguko wa pesa ndani ya Urusi kwa sasa sio mzur kuna ukata mkubwa tatizo vyombo vya Habari vimepigwa pini na pesa nyingi wanayopata kwenye mafuta wana gharamikia vita mkuu
Twende taratibu kwanza MKUU kabla sijakwambia RUSSIA anauza nini ukitoa hvyo ulivyovitaja
Nchi ya RUSSIA ama nchi yeyote haitegemei kuuza vitu unavyotaka wewe ili kukua KUCHUMI
Kuhusiana na kwamba eti pesa anagharamikia vita kwamba kabla ya hii OP inayoendelea jamaa hawakua kabisa nabajeti kwenye wizara yaulinzi!!?
Jamaa hawa tuliambiwa hawana chakula watachukua cjui week cjui mwezi nao miezi mitatu
Haya kwenye mauzo ya nje ya RUSSIA ukitoa hvyo unavyovisema kwanza kwanini unavitoa wakat vitu vyao jamaa wanauza SILAHA nadhani unajua kuhusiana na bei za ngano
Ukitaka niongeze vyengne nambie MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sua
Hata US na Ulaya wanawekeza AI, pia China ina watu wengi sana kuwekeza huko inaweza ikawa tatizo lingine la ajira, labda wapunguze populatio

Hata US na Ulaya wanawekeza AI, pia China ina watu wengi sana kuwekeza huko inaweza ikawa tatizo lingine la ajira, labda wapunguze population yao.
Suala la kupunguza population Hilo hawana Mpango nalo kwa miaka hii ya karibuni kwanzo ndio wanawaza kuongeza population
 
Twende taratibu kwanza MKUU kabla sijakwambia RUSSIA anauza nini ukitoa hvyo ulivyovitaja
Nchi ya RUSSIA ama nchi yeyote haitegemei kuuza vitu unavyotaka wewe ili kukua KUCHUMI
Kuhusiana na kwamba eti pesa anagharamikia vita kwamba kabla ya hii OP inayoendelea jamaa hawakua kabisa nabajeti kwenye wizara yaulinzi!!?
Jamaa hawa tuliambiwa hawana chakula watachukua cjui week cjui mwezi nao miezi mitatu
Haya kwenye mauzo ya nje ya RUSSIA ukitoa hvyo unavyovisema kwanza kwanini unavitoa wakat vitu vyao jamaa wanauza SILAHA nadhani unajua kuhusiana na bei za ngano
Ukitaka niongeze vyengne nambie MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea mkuu mbolea na bidhaa ya misitu
 
Back
Top Bottom